Hivi treni ya kuelekea Moshi bado ipo? Mwisho wa mwaka tunaanza kupanga safari

Awamu ya 5 ilishindwa kutengenisha kipi cha kufanyika kisiasa na kipi ni cha kufanyika kitaalamu, vitu vyote vilifanyika kisiasa, matokeo yake kila kilichofanyika kisiasa kimeenda na mwendazake, mfano halisi ni vitambulisho vya wamachinga pamoja na SGR.
Yule alikuwa anajiendea tu mradi anapata sifa basi. Mungu muache aitwe mungu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Sasa unatuuliza sisi tukusaidieje ?

Muulize pole pole kwenye magroup yenu huko ya WhatsApp maana ndiye alikua engineer wa kununua watu na kulipa buku 7 kikundi chenu cha mapambio kiitwacho MATAGA
 
Sasa unatuuliza sisi tukusaidieje ?

Muulize pole pole kwenye magroup yenu huko ya WhatsApp maana ndiye alikua engineer wa kununua watu na kulipa buku 7 kikundi chenu cha mapambio kiitwacho MATAGA
Hata humu Polepole yumo!
 
Ile ilikuwa janja ya jini jiwe kujivika umaarufu. Shetani yule alikuwa na akili ya kifutuhi sana
Ni kweli maana treni yenyewe haikuwepo. Walikuwa wanapanda ungo.( akili za watanzania wenzetu wengine bwana utadhani walizaliwa kwenye vyoo vya sokoni)
 
Ila jiwe apumzike huko aliko eti vichwa vya tren vikaokotwa TZ vituko ni vingi sana
Possible mzee. Hii nchi ilioza. Umesahau twiga walishawahi kupandishwa ndege.

Inawezekana kabisa kuna wahujumu uchumi walileta vichwa vyao ili wafanye biashara ndani ya shirika. Yaani wanabeba abiria kwa mgongo wa shirika huku pesa wanatia kapuni ama walitaka kuliuzia shirika ila wakachelewa.
 
Back
Top Bottom