Hivi treni ya kuelekea Moshi bado ipo? Mwisho wa mwaka tunaanza kupanga safari

Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?

Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.

Sabato njema!
Halafu Polepole anafundisha shule ya Uongozi kama ameshindwa kuisimamia hii route moja tu ya Dar Moshi ataweza kuaminika kufundisha watu uongozi. Pia aulizwe na SABAYA.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Nauliza kwa wale abiria wenzangu wa Tanga Moshi Arusha ile treni yetu iliyozinduliwa na mh Polepole ( MB ) bado ipo?

Naomba majibu Tafadhali huu ni wakati wa kujipanga December imekaribia.

Sabato njema!
Habari za Polepole kamuulize yeye mwenyewe au sukuma gang wenzenu
 
Back
Top Bottom