Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,549
- 6,102
Yule ni mpumbavu fulani hivi wa kumpuuza tu.
ili nibidi nicheke sana mkuu asubuhi hiiKama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.
Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
Watu wengi wanajibu kwa mihemko ya kisiasa hawajajua point yako.(kiini cha swali).Mdude na wengine waliokamatwa, mtanzania wa kule kijijini anafaidika na nini?
Hii sms imenigusa sana ubarikiwe sana mkuuDawa ya MTU ama KITU kinachokuudhi ni kutokukitilia maanani, ni kuachana nacho....
Na sijui inakuwaje nyie watu mnaona mabaya ya wengine tu na kutaka wahukumiwe huku nyie mkiwa wachafu na wenye dhambi kuliko pengine hata hao mnaowachukia....!
Jirekebisheni bwana, acheni hizo. Acheni watu waseme, waishi maisha yao wayatakayo....
Sio kweli acha kutulisha matangopori bana under cover gani anaweza kutukana Rais wa nchi kwa kiwango kile??kigogo ni under cover..shauri zenu..wengi wamedakwa kupitia yeye.
hana msaada wowote katika taifa hili, hua nashangaa sana anaongelewa ongelewa muhuni tuKigogo ni mpuuzi tu sasa hivi ameanza kuparuana na viongozi wa dini
Ninao. Siwezi kwenda huko kwani serikali imekataa kufanya uchunguzi. Tunasubiri huu utawala uondoke ndipo utatolewa.
Wengi Sana,Ana wafuasi au followers kwa kiswahili ni zaidi ya laki tatu,acha guests Kama wanaosoma jamii forum bila ya kujisajili(guests)Serikali isipoteze muda wake na raslimali kupambana na watu kama Kigogo. Kuna mambo muhimu zaidi ya kufanya. After all watanzania wangapi wanasoma tweet zake?
Magufuli aliwaambia wasichunguze.Nidhibitishie mahali ambapo imekataa uchunguzi , na ni nani huyo aliyekataaa na kuna ushahidi kimaandishi kwamba amekataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo2014 ni nani?Wakuu Salaam;
Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.
Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.
Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.
Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.
Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.
Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.
Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?