Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
unapoziba pipes za kutolea hewa chafu, basi tegemea hewa chafu ya chooni kurudi ndani. matokeo ya ile harufu, kila mtu atamwona mwenzie ndani ya nyumba ndio ananuka..

unapodhibiti upinzani kwa namna zote, basi tegemea grp au watu aina ya kigogo na yule dada kuibuka.
Kwahiyo kwako, upinzani ni pipes za kutolea hewa chafu? Nilidhani ni mawazo mbadala!😄
 
Huyo jamaa kumuelewa na kujua account yake inavyoendeshwa kuelewa ni ngumu, ile account ipo on 24 hours unaweza amka usiku wa manane jamaa anatweet tu sasa unajiuliza ni mtu mmoja au ni wengi

unaweza jiuliza mda anaolala jamaa ni saa ngapi na usipate jibu maana account 24 inapost tu



Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom