Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
49,971
2,000
Kigogo ni mpuuzi tu sasa hivi ameanza kuparuana na viongozi wa dini
Kigogo anaparuan na MTU yoyote au mnafiki yoyote ambaye anamtetea Magufuli. Viongozi Wa dini hasa manabii wameonyesha kihere here sana cha kumtetea meko hapo ni ugomvi wao ulipo n kigogo
 

nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
2,420
2,000
Hivi huyu kigogo ndio yule aliyetukanwa sana humu kisa amemshambulia mbowe?

Nijuavyo
, Tanzania haina sera za siri za kuwafatilia wapinzani wa serikali

Hii ya kusema tcra wameandika barua twitter, tiss wanamfuatilia, mala tanpol ni uzushi na kujitafutia umaalufu tu, na umaalufu zaidi anaupata kwa hawa vijana wenzetu ambao kazi za vichwa vyao ni kuamini kwanza kabla ya kuhoji.
 

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,471
2,000
Kama mange kimambi walikua wanamjua sura , wanafahamu anapoishi wnawajua watoto wake na ndugu zake na aliwasumbua for years kila siku akizusha kitu kipya na kuzua taharuki kila siku. Hadi siku moja akawafanya polisi kama watoto wadogo kwa kuwapigisha kwata nchi zima huku wakizunguka na silaha za kivita mitaani.. lakini walimshindwa.

Sasa watamuweza mtu ambaye hawamjui jina wala sura
ili nibidi nicheke sana mkuu asubuhi hii

maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngorunde

JF-Expert Member
Nov 17, 2006
1,873
2,000
Mdude na wengine waliokamatwa, mtanzania wa kule kijijini anafaidika na nini?
Watu wengi wanajibu kwa mihemko ya kisiasa hawajajua point yako.(kiini cha swali).

Kuna udhaifu mkubwa katika taasisi yetu ya usalama.
Huyu Kigogo hakamatwi aitha kwa sababu zifuatazo;
-Kushindwa kumpata kutokana na udhaifu wa taasisi kiutendaji.
- Mkakati maaluma wa kutokumkamata ili kufikisha ujumbe fulani kwa mamlaka za juu kuonyesha hali ndani ya taasidi sio shwari.
- Taasisi ya usalama haiko pamoja kiutendaji na serikali ilioko madarakani.
 

mwamwala iyunga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
921
1,000
Dawa ya MTU ama KITU kinachokuudhi ni kutokukitilia maanani, ni kuachana nacho....

Na sijui inakuwaje nyie watu mnaona mabaya ya wengine tu na kutaka wahukumiwe huku nyie mkiwa wachafu na wenye dhambi kuliko pengine hata hao mnaowachukia....!

Jirekebisheni bwana, acheni hizo. Acheni watu waseme, waishi maisha yao wayatakayo....
Hii sms imenigusa sana ubarikiwe sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
534
500
Serikali ina mambo mengine mengi, kama mtu sio threat kwa Taifa kuna haja gani ya kumkamata?
Na kwann unadai kuwa wameshindwa ilihali hatujawahi kusikia serikali ikitangaza kumtafuta.

Mimi binafsi namuona kama mtu wa kujitungia story zisizo na kichwa wala miguu, mwenye chuki kwa Magufuli, much know fulani, dharau na kiburi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,981
2,000
Serikali isipoteze muda wake na raslimali kupambana na watu kama Kigogo. Kuna mambo muhimu zaidi ya kufanya. After all watanzania wangapi wanasoma tweet zake?
 
Top Bottom