Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

stable912

Member
Dec 11, 2017
17
45
Wakuu Salaam;

Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.

Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.

Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.

Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.

Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.

Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.

Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?
Kigogo2014 ni nani?
Jinsia gani?
Mtaifa gani?
Ni mtu au taasisi?
Anpata wapi taarifa na nyaraka nyeti za govt?
Anaishi wapi ndani au nje ya Tanzania?
Sura yake halisi je, ni ipi (anafananaje)?
]Ni mwanaharakati mzalendo au mzandiki?

Haya yote yanajibika kwa @mdudechadema@idrisssultan na wengineo katika mifano yako ila si kwaKigogo2014

Ila pia kwanini akamatwe? Shida ni nini?

''Deception is the state of mind, and the mind of state" JJA CIA chief of CI.

"open your eyes wake up to lies"
tapatalk_1590317804960.jpeg

"open your eyes wake up to lies"
 
gataca

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
327
500
Serikali ina mambo mengine mengi, kama mtu sio threat kwa Taifa kuna haja gani ya kumkamata?
Na kwann unadai kuwa wameshindwa ilihali hatujawahi kusikia serikali ikitangaza kumtafuta.

Mimi binafsi namuona kama mtu wa kujitungia story zisizo na kichwa wala miguu, mwenye chuki kwa Magufuli, much know fulani, dharau na kiburi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia pia siku hizi serikali za Dunia zinaelewa threat inaanzia mtandaoni kuanzia nyakati za Arab springs ,yellow jackets movement na huko hongkong(Hong kong protest) siku za karibuni ,kwa China yenyewe imeamua kudhibiti kwa namana yake kwa kuzuia baadhi ya mitandao maarufu .lakini kwa nchi nyingine zinachofanya ni kununua tools za ku spy mitandao hiyo na Niingine kununua wafanyakazi wa mitandao hiyo kuwapa habari za wahusika wanaowahitaji ,mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa tweeter waliokamatwa hivi karibuni kwa kuifanyia kazi Saudi Arabia.
Hivyo kumkamata Kigogo kwa sasa haisaidii iwapo wanaompa habari kama wapo hawajulikani bado kwani watachofanya ni kuanzisha kigogo mwingine
 
Athlete

JF-Expert Member
Jan 1, 2015
904
1,000
Taarifa anazotoa zitoshe tu kukujulisha kwamba kigogo ni serikali yenyewe.

Kama ina makundi,inapingana yenyewe au inatuchezea akili mimi hilo sijui ila tu jambo moja la wazi ile ni serikali yenyewe.

Huwezi kuwa na access ya info kama zile kirahisi bila kuwa ndani ya mfumo na huwezi kuwa na info nyingi vile bila kuwa na sources nyingi ndani ya hiyo serikali na huwezi kuoperate na kucoordinate mambo vile bila kuwa na watu wengi na huwezi kujificha na kusumbua serikali organized na yenye ncha kali kama yetu katika dunia hii bila kuwa part and parcel of it.

Sasa kama account ile ni ishara ya serikali kupingana yenyewe kwa yenyewe,basi lile tatizo ni kubwa sana na litaleta shida siku sio nyingi.Ni ishara ya ufa mkubwa within the system na wale wasioridhika wanaonekana kuwa powerful.

Kigogo anapaswa kutafutwa within the system,kama wapo walioachwa,walioonewa ndani ya vyombo vya dola,chama tawala,serikali kuu na maeneo ya hivyo,basi warudishwe kundini serikali iwe moja,strong.Huenda tukashangaa account inajifunga yenyewe bila kujulikana ilianzaje na inaishaje.

Instincts zangu zinaniambia tu suala la kigogo nilione kwa mtazamo huu.
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
3,907
2,000
Umeanza vyema lakini ulivyomaliza siamini..kigogo ni serikali na wanachofanya ni kama evaluation,kuchukua mawazo ya watu mbali mbali ili wao wajue wanapaswa kufanya nini kama taifa,kama ulisha fanya kazi na mashirika huko vijijini watu wanapoenda kutaka kujua wananchi wana uhitaji gani ili shirika lijue wengi wameshauli nini juu ya shida zao na kuamua kutoa msaada wa kile ambacho kinalengwa na wengi,basi na kigogo ni hivyo hivyo..japo pia na mimi ni mawazo yangu lakini nayapa 95% ya kua iko hivyo
Taarifa anazotoa zitoshe tu kukujulisha kwamba kigogo ni serikali yenyewe.

Kama ina makundi,inapingana yenyewe au inatuchezea akili mimi hilo sijui ila tu jambo moja la wazi ile ni serikali yenyewe.

Huwezi kuwa na access ya info kama zile kirahisi bila kuwa ndani ya mfumo na huwezi kuwa na info nyingi vile bila kuwa na sources nyingi ndani ya hiyo serikali na huwezi kuoperate na kucoordinate mambo vile bila kuwa na watu wengi na huwezi kujificha na kusumbua serikali organized na yenye ncha kali kama yetu katika dunia hii bila kuwa part and parcel of it.

Sasa kama account ile ni ishara ya serikali kupingana yenyewe kwa yenyewe,basi lile tatizo ni kubwa sana na litaleta shida siku sio nyingi.Ni ishara ya ufa mkubwa within the system na wale wasioridhika wanaonekana kuwa powerful.

Kigogo anapaswa kutafutwa within the system,kama wapo walioachwa,walioonewa ndani ya vyombo vya dola,chama tawala,serikali kuu na maeneo ya hivyo,basi warudishwe kundini serikali iwe moja,strong.Huenda tukashangaa account inajifunga yenyewe bila kujulikana ilianzaje na inaishaje.

Instincts zangu zinaniambia tu suala la kigogo nilione kwa mtazamo huu.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,634

unapoziba pipes za kutolea hewa chafu, basi tegemea hewa chafu ya chooni kurudi ndani. matokeo ya ile harufu, kila mtu atamwona mwenzie ndani ya nyumba ndio ananuka..

unapodhibiti upinzani kwa namna zote, basi tegemea grp au watu aina ya kigogo na yule dada kuibuka.
 
KAWETELE

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
448
1,000
Hivi huyu kigogo ndio yule aliyetukanwa sana humu kisa amemshambulia mbowe?

Nijuavyo
, Tanzania haina sera za siri za kuwafatilia wapinzani wa serikali

Hii ya kusema tcra wameandika barua twitter, tiss wanamfuatilia, mala tanpol ni uzushi na kujitafutia umaalufu tu, na umaalufu zaidi anaupata kwa hawa vijana wenzetu(nyumbu) ambao kazi za vichwa vyao ni kuamini kwanza kabla ya kuhoji.
Umaalufu....
au siyo?
 
mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,060
2,000
Kigogo anatakiwa ajue hayuko huru hata baada ya miaka hamsin pia kwa jinsi chadema wanavyo nunulika ki rais nahis kigogo tayar wameisha mchoma Ila bado anavutiwa pumzi tu au labda hayupo Tanzania Ila muda ukifika ataanza kupost jaman Niko kituo Cha polis na makamanda kuanza kufanya kampen ya Free kigogo sasaiv mnafurai akitiwa nguvun msilie

Top Bottom