Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
Hakuna jambo lisilo na Mwisho Serikali ya America imemtafuta osama bin laden kwa Miaka lakini siku zake zilifika hakuwa pekee yake alikuwa na kundi lake lakini karibu wote 36 sasa ni wote Marehemu hata kigogo na mtandao wake ipo siku tu watashika tu.siku zao zinahesibiwa.
 
Yaani kigogo ni sawa sawa na Osama kweli? Duh!
 
osama alikua ni gaidi
je kigogo amefanya kosa gani?

pia tofautisha kati ya teknolojia ya USA na ma IT uchwara wa Tanzagiza
Kama ni uchwara mbona hawamkamati siku zote anawatusi kila aina ya tusi linalomjia?
 
Kama ni uchwara mbona hawamkamati siku zote anawatusi kila aina ya tusi linalomjia?
kuna tusi gani Kigogo keshalitoa? kuambiwa kuwa chungu cha pesa umemweka Mpwa ndio tusi
kuambiwa umejenga uwanja wa ndege mkubwa kuliko, uwanja wa mpira usioweza ingiza idadi yake, CRDB pasipo na mzunguko ni tusi
weka tusi ulilokutana nalo
 
IMG_4957.jpg

Wamei-suspend tena
 
KIGOGO AU FICHUA TANZANIA OFFICIAL NI KUNDI LA WATU WA SYSTEM WALIOPASWA KUWA NA VYEO AU KUPEWA KIPAUMBELE KWENYE UTAWALA WA AWAMU HII WAKAPUUZWA WAKAPEWA WASIOSTAHILI KAMA WAKINA MABEYO !!!WAKAINGIA NONGWA SASA WANAPIGA SPANA HUKU WAKIWEMO NDANI YA SYSTEM!!!MAANA YAKE SYSTEM IMEGAWANYIKA KWA SASA!!UTAWALA WA JIWE UMEGAWA SYSTEM JAMBO AMBALO HALIJAWAHI TOKEA NCHINI!!!
Unawajua wewe?
 
Huyo jamaa kumuelewa na kujua account yake inavyoendeshwa kuelewa ni ngumu, ile account ipo on 24 hours unaweza amka usiku wa manane jamaa anatweet tu sasa unajiuliza ni mtu mmoja au ni wengi

Unaweza jiuliza mda anaolala jamaa ni saa ngapi na usipate jibu maana account 24 inapost tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hakuna uhakika ni jamaa au mwanamke ?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom