Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

Hmm....na cha ajabu tokea jamaa afe, nyuzi za tanzia humu JF nazo ni kama zimeisha!

Watu hawafi tena kwa matatizo ya upumuaji!

Curious...
Dah alaf kweli mkuu, habari za tanzia zimepungua sana. Unahisi ni kwanini imekuwa hivi mkuu?
 
... na hilo nalo mkaliangalie!
1618075215078.png
 
Shauri yake,soon na yeye tutamzika. Mtu yupo kwenye risk namna hii,ila hachukui measures za kujikinga. Mpango atakuwa Rais soon very soon.
 
Kweli kabisa.

Watanzania wengi wanapenda kusikia maneno yawapendezayo bila kupima ukweli wake.

Ni kama mwendazake alivyokuwa akitutangazia sisi ni matajiri dona kantri na miradi yote tunaitekeleza kwa fedha zetu za ndani.

Mataga wakawa wanamshangilia kwa nguvu zote wakitaka aongezewe muda atawale milele.

Bila ya kupima ukweli wa maneno ya mwendazake.

Hao ndo watanzania.
Unawashwa sana aisee
 
Back
Top Bottom