Rais Samia Suluhu ana emotional intelligence, utulivu wa hali ya juu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai Watu wenye zero emotional intelligence.

Hana Wenge, Hana pupa wala kupaparika. Hana kihedemswede kurukaruka kama mcheza Rede.

Mwanzoni alipochukua madaraka kidogo wenge lilitaka kumvaa, oooh! Mimi mwanamke, ooh! Blah blah! Sisi Watibeli tukasema enhee! Kuna haribika hapa.
Lakini baadaye kidogo akatuliza wenge.
Nafikiri ulikuwa ugeni wa nafasi aliyopewa.

Oooh! Huyo ni mwanamke, Mwanamke hawezi kuongoza bhana!
Mara ohooo! Huyo sijui mzanzibara anaongozaje watanganyika. Mara oooh! Huyu Mama sijui mumetolea wapi, Kwanza anarimotiwa na rimoti Ipo msoga.
Oooh! Huyo Mama yenu anaikabidhi nchi Kwa wajomba zake sijui Ndugu gani Huko arabuni.
Hapajatulia, oooh! Sijawahi kuona Mama dikteta, huyu ndiye atakuwa amevunja rekodi ya Ulimwengu kuwa Mwanamke wa Kwanza kuwa Dikteta.

Maneno hayo na mengine mengi Mno, mengine kuyasema inaweza kuwa ni aibu, lakini Rais Samia bado anautulivu.

Huwezi kuwa na utulivu ukiwa katika mashinikizo ya aina hiyo kama hauna emotional intelligence. Huwezi!

Tena Kwa nafasi kubwa aliyonayo, ukizingati ni Muafrika kama Sisi na wote tunajua jinsi Sisi waafrika tunavyo-act endapo Watu hasa tunaowamudu wakileta kile tutakachoona ni kushushiwa heshima.
Mbali na Uafrika lakini pia ni Mwanamke, ambayo ni Sifa ya dunia nzima kuwa Wanawake wapo very emotional, na wengi wao ni zero emotional intelligence. Lakini Kwa Samia hiyo iko tofauti.

Tumeona viongozi kadhaa waliopita wakitekenywa kidogo jinsi watakavyo react. Tumeona na kama wewe hukuona basi ni wewe. Lakini hata Huko makazini au majumbani tunajua pale kiongozi anapotekenywa kidogo jinsi atakavyo reacts bila kujali sheria zipo au hazipo.

Ni nadra Sana ukute kiongozi mwenye Utulivu, Hekima na busara katika kuyaendea mambo. Ni ngumu kiongozi hasa Kwa level ya Rais kuchokolewa alafu asitumie mamlaka yake bila kujali ni Kwa Njia halali au haramu.

Sisi Watibeli hatusifii Watu ili tupate sijui vyeo au tutambulike au sijui viongozi watuone wamaana. Hiyo kwetu haipo hivyo Kwa sababu Sisi wenyewe tumezaliwa tunavyeo, tunatambulika na kujitambua. Hatuhitaji sijui favour ya Rais au kiongozi kumpongeza au kumkosoa.

Ndio maana pamoja na kumsifia na kumpongeza Rais Samia Kwa utulivu aliuonyesha lakini bado haifichuli ukweli kuhusu mapungufu ambayo anaweza kuwa nayo.
Kuhusu mkataba WA Bandari ni ufanyiwe marekebisho Kwa manufaa ya Nchi.

Kama Rais Samia angekuwa hana emotional intelligence ingekuwa kivumbi na jasho huko kwenye majukwaa.
Angekuwa kila Siku anapambana kujibu makombora anayotumiwa, kisha naye Atume vijembe. Viongozi wa hivyo tumewaona.
Lakini ninyi semeni, yeye atasikia kama mnasema kweli au laa hiyo haina maana yoyote kwake.

Kuhusu wale wakushtakiwa sijui Kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Hilo Kwa Sisi Watibeli tunaita Wenge au kupaparika. Huko ni kukosa utulivu.

Kiongozi lazima awe na;

1. Akili
Upeo mkubwa wa kupambanua, kuchambua, kutatua changamoto za Watu wake. Maoni.

2. Uwezo wa kudhibiti hisia zake.
Kiongozi hatakiwi kuongozwa na mihemko kama mtoto anayebalehe.
Sikiliza, tulia, tafakari, chukua hatua kama kuna haja.

3. Mtu mwenye uwezo na sio mtu anayejitutumua kuonyesha anauwezo.
Hili ni tatizo Kwa jamii zetu za Afrika.
Yaani Watu uwezo Hawana lakini wanavyojitutumua sasa. Ndio maana dhulma na kutotendeka Kwa Haki kunatawala.

4. Uwezo wa kuwaunganisha Watu.
Unajua kabisa Watu unaowaongoza ni Wengi. Na kila mtu anaupeo na Akili zake. Sasa kutofautiana mawazo ndio unakasirika kama jinga Fulani hivi. Unakasirika nini kama wewe ni Kiongozi Bora kweli. Kiongozi lazima utambue kuwa Watu wanatofautiana na kila mmoja katika tofauti hizo anapaswa kuheshimiwa.
Kuna Watu wapole na wapo wakali, kuna Watu wenye kisirani na watu Watulivu. Kuna wenye Akili na wajinga. Mitazamo ya mafanikio inatofautiana.
Watu hao hawawezi kulingana. Na hata unavyodili nao lazima udili nao Kwa Akili.

Kila mmoja umtumie katika nafasi sahihi. Hata wajinga wanaumuhimu wao katika Dunia. Nafasi zao zipo na zikitumiwa vizuri ni faida Kwa nchi.

Kujua Watu na kujijua mwenye ndio tafsiri ya Hekima na busara Kwa sababu utajua nini chakufanya Kwa usahihi katika Wakati sahihi.

Jambo moja ambalo litanitia mashaka na ninalihofia ni pale Rais Samia ambaye ni Mwanamke awe na utulivu na emotional intelligence ambayo itawashinda viongozi wajao ambao tutakuwa wanaume.

Wanaume kwetu Hii ni challenge. Tumezoea kuona Wanawake ni Watu wa kukurupuka, kufanya vitu Kwa hasira na mihemko lakini Kwa Samia imekuwa tofauti.

Kikawaida ukiona nguvu kubwa inatumika ujue Akili ni ndogo. Na ukiona mtu anaendeshwa na mihemko ujue muda huo Akili haipo. Na ukiona mtu haendeshwi na mihemko ujue Akili yake inafanya kazi vizuri.
Ndio kuna ule msemo usema, usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha(mihemko). Hiyo ndio maana ya uongozi Kwa namna nyingine.

Hongera Rais Samia, lakini bado hoja ya mkataba WA Bandari uitilie maanani. Penye marekebisho Parekebishwe.

Ni Yule Mtibeli. Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wacha nikuambie kitu kuwa huo sio utulivu bali kiburi kwa anao waongoza kiongozi wa umma kwa nafasi yake huwezi kuwa kimya katika ajenda kubwa ya kitaifa bila kuijibia kwa maelezo ya kutosha na ya kueleweka kwa watu wote unao ongoza.

Taifa hili lingekuwa linatumia parliamentary democracy mpaka sasa maza angekuwa amekwisha wajibishwa na bunge haraka sana.

Hii presidential system ndio inampa kiburi ambacho wewe unaiita utulivu kwa sababu nafasi yake ipo safe katika kuwajibishwa ni ngumu sana hilo kutokea.

Maza hana utulivu bali ana kiburi kwa anao waongoza ila hana kiburi kwa walio mpa hayo madaraka( ukiielewa hii sentensi ya mwisho utakuwa umekua kimwili na kiakili usipo ielewa wewe bado dogo)
 
mtu yeyote yule mwenye akili timamu lazima awe na emotional inteligence......mama samia huwezi kumlinganisha na baba jesca
 
Wacha nikuambie kitu kuwa huo sio utulivu bali kiburi kwa anao waongoza kiongozi wa umma kwa nafasi yake huwezi kuwa kimya katika ajenda kubwa ya kitaifa bila kuijibia kwa maelezo ya kutosha na ya kueleweka kwa watu wote unao ongoza.

Taifa hili lingekuwa linatumia parliamentary democracy mpaka sasa maza angekuwa amekwisha wajibishwa na bunge haraka sana.

Hii presidential system ndio inampa kiburi ambacho wewe unaiita utulivu kwa sababu nafasi yake ipo safe katika kuwajibishwa ni ngumu sana hilo kutokea.

Maza hana utulivu bali ana kiburi kwa anao waongoza ila hana kiburi kwa walio mpa hayo madaraka( ukiielewa hii sentensi ya mwisho utakuwa umekua kimwili na kiakili usipo ielewa wewe bado dogo)

Labda ulitaka ajibu nini Mkuu?
Na unataka ajibu lini?
Kwani amesema hatatoa Muafaka(majibu)?

Inaweza kuwa kweli ukimya ukawa ni kiburi, lakini bado Jambo hili halijaisha. Likiisha tutapata hitimisho.
Mfano akijibu kesho bado atabaki kwenye Sifa ya Kiburi au tuliomuita anakiburi tutaweka wapi Sura zetu.
 
Huo utulivu ndiyo unapelekea fursa kila upande hadi tukija kustuka hata fisi watakua wameshajibebea mifupa.
Ni utulivu huo unaowapa watu ujasiri wa kumsainisha aina ya mikataba kama ya bandari na yeye akasaini.
Ni utulivu huo unaopelekea tunashindwa kesi huko nje halafu tunapewa mikopo itakayorudi kulipa faini zitokanazo na kesi hizo.
NI Mtulivu hasa, kiasi cha kupelekea Wahaini wakamatwe na kuachiwa kwa dhamana.

Ni utulivu huo unaopelekea watu wafanye watakavyo.

Hakika, hiyo ni emotional intelligence of the highest order
 
Naunga mkono hoja yako kwani ile kauli yake ya kuwa amechagua kukaa kimya na akamalizia kwa kusema hakuna mwenye ubavu ....... anamaanisha kuwa semeni yote mmalize lakini hamna cha kunifanya niliyoamua nimeamua na mkataba upo na utakuwepo kama ulivyo,hizo ni kelele za mlango tu hazimnyimi usingizi mwenye nyumba. Hicho ni kiburi cha kiwango cha juu sana.
 
Mengine unamsingizia hasa hayo ya kushindwa makesi.

Wapi Watu wanafanya watakavyo Mkuu?
Mnataka Ile ya kila kitu Rais akitolee ufafanuzi kama Hana Wasaidizi wake?
Au unataka Ile ya Rais kudhalilisha Wasaidizi wake hadharani ili aonekane mchapakazi ilhali hafuati sheria kuwawajibisha hao anaowadhalilisha hadharani?

Hutaki kila mmoja abaki kwenye nafasi yake?

Kama ishu ni kusainishana mikataba ya kimangungo, hizi kesi tunazoshindwa sasa hivi Huyo Samia alikuwa Rais?

Simtetei Rais Ila najaribu kuonyesha kuwa kama taifa tunatatizo la kimfumo, kisheria na kimaadili
 
Naunga mkono hoja yako kwani ile kauli yake ya kuwa amechagua kukaa kimya na akamalizia kwa kusema hakuna mwenye ubavu ....... anamaanisha kuwa semeni yote mmalize lakini hamna cha kunifanya niliyoamua nimeamua na mkataba upo na utakuwepo kama ulivyo,hizo ni kelele za mlango tu hazimnyimi usingizi mwenye nyumba. Hicho ni kiburi cha kiwango cha juu sana.

Jeuri ya Rais na Kiburi chake kinakingwa na nini na Nani?
Hicho kinachomkinga na anayemkinga ndiye mwenye tatizo.

Badilisheni Katiba.
Niliandika hapa👉👉Sheria ya kutokumshitaki Rais ndio Rushwa kubwa kuliko
 
Labda ulitaka ajibu nini Mkuu?
Na unataka ajibu lini?
Kwani amesema hatatoa Muafaka(majibu)?

Inaweza kuwa kweli ukimya ukawa ni kiburi, lakini bado Jambo hili halijaisha. Likiisha tutapata hitimisho.
Mfano akijibu kesho bado atabaki kwenye Sifa ya Kiburi au tuliomuita anakiburi tutaweka wapi Sura zetu.
Hii ajenda kubwa hapa taifani imeanza lini na mpaka sasa ni muda gani umepita ?

Na hata akijibu sasa muda huu naandika hio haitafanya nimuondoe katika kundi la viongozi wenye viburi
 
Back
Top Bottom