Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

Jipige nyundo ya kichwa ufe ili umfate mungu wenu wa kisukuma nyau ww
Mimi sio msukuma wewe nyau, sisi tuko tiyari kumpa kampani huko huko aliko.jpm hawezi kuwa mpweke mwenyewe, alipo tupo. Sisi ni wananchi watiifu lazima tuendelee kumtii jpm
 
Simuelewi Mama, umri 60s. Mtu katoka Kenya huko kwenye 3rd wave. Ni hatari sana, tunaweza hata kutegeshewa mtu ana Covid akaja kwa Mama yetu.
Ndo hivyo hata usipotegeshewa unaweza kujikuta ulipo kusanyika kuna mtu ana Covid na wewe hujajikinga anakuambukiza, kuhusu kuwa mwishoni mwa janga na chango imetoka itabidi chanjo iletwe maana kuna watu wanakwenda nje sana so itabidi wachanjwe Ili wakirudi wasituambukize.
 
Mimi sio msukuma wewe nyau, sisi tuko tiyari kumpa kampani huko huko aliko.jpm hawezi kuwa mpweke mwenyewe, alipo tupo. Sisi ni wananchi watiifu lazima tuendelee kumtii jpm
oneni ili jinga nalo, mama Samia ana kazi, yaan hadi zuzu kama ili nalo mwananchi wake!!!!,
 
Uongozi wa taifa letu ni majanga Nyani Ngabu . Nafikiri bado kwa kuwa mwendazake alikuwa hapendi kusikia habari za Covid 19 . Nafikiri mama anamuenzi

Odhis *
WOTE wanafikiria tuvae BARAKOA na kuwa LOCK DOWN ni mafisadi ambao hawafikirii kuhusu wenzao wa kipato cha chini. Kama unataka kwendana na CORONA nenda kwenye NCHI mojawapo uone taabu yake.

Baadhi ya watanzania wamekuwa walopokaji tu. Haya RAIS akishatangaza nchi ina CORONA then tuwe LOCK DOWN kisha serikali ikulipe MSHAHARA WA BURE bila kufanya KAZI.

Je hizo BIASHARA zitaendaje uliza ARUSHA wakuambia athari za CORONA katika Uchumi was Hoteli pamoja na wafanyakazi wake waishije wateja hakuna? Tusiwe waropokaji tu Fikiria kuhusu UCHUMi.

UK wenyewe wamesema wataishi na CORONA ili maisha yaendelee. Kama nchi yenye uchumi mkubwa inafanya hiyo sisi je ambao tuna uchumi wa bajeti yetu Kukopa tufanyeje?
 
WOTE wanafikiria tuvae BARAKOA na kuwa LOCK DOWN ni mafisadi ambao hawafikirii kuhusu wenzao wa kipato cha chini. Kama unataka kwendana na CORONA nenda kwenye NCHI mojawapo uone taabu yake...
Wanataka sifa za kuonyesha kuwa na sisi Tanzania tunavaa barakoa, waulize humu jaamiiforums waishio Tz ni wangapi wametoka majumbani kwao wamevaa barakoa?

Watoto na wake zao wakienda kariakoo wana vaa barakoa? je wamekufa? kuna vitu vingine unatakiwa uone kama huoni, wanataka corona si waende tu Italy wakaona what is corona?
 
Leo anashiriki katika hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa JWTZ.

Sijaona hata mmoja aliyevaa barakoa, hakuna social distancing, hakuna tahadhari zozote zile za kuonekana; kuanzia yeye Rais mpaka wale waimba Taarab.

Is she serious about COVID-19 or it was just lip service?

D0CD11C0-6D5A-4364-8FA4-4A3DFAC50029.jpeg
 
Simuelewi Mama, umri 60s. Mtu katoka Kenya huko kwenye 3rd wave. Ni hatari sana, tunaweza hata kutegeshewa mtu ana Covid akaja kwa Mama yetu.
Kwanini hamtaki kujilinda? Ubishi wenu ndio vifo vyenu"mtakufa tu"
 
Leo anashiriki katika hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa JWTZ.

Sijaona hata mmoja aliyevaa barakoa, hakuna social distancing, hakuna tahadhari zozote zile za kuonekana; kuanzia yeye Rais mpaka wale waimba Taarab.

Is she serious about COVID-19 or it was just lip service?

View attachment 1754610
Kinachowasumbua wa Tanganyika ni ile "kuenzi". Nyani Ngabu . Hebu angalia sarakasi za michango wabunge . Wale wanaojiita drs la 7 na wale wanaojiita wasomi kuhusu neno "kuenzi"

Leo nimesikia takwimu bila ya Tanzania , tayari watu million zaidi ya tatu wameshauliwa na Corona. Hapa tumekalia kuenzi . Kikubwa jilinde wewe mwenyewe . Wale wenye kutoa mifano bado wanaenzi
 
Hahaaaa Samia hayuko serious kwenye COVID 19.

Nadhani alitaka kuwafurahisha tu baadhi ya wanaharakati wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa ambao sasa washasahau...
 
Eti mtu unang'ang'aninia kwamba una tatizo!

Nampa pongezi biti Hassan(shikamoo) popote pale alipo.Baada ya kuona wanamtilia kelele akatangaza anaunda kamati ichunguze kama ipo au haipo.

Basi kelele zikaisha na mchezo umeisha.

Hivi mpaka hivi naandika Biti Hassan amerejea kutoka safarini na amejikita kwenye mambo ya kimaendeleo.Wanakamati tupo nao huku majarubani.

AMEMALIZA HILI JAMBO KIAKILI
 
Eti mtu unang'ang'aninia kwamba una tatizo!!
Nampa pongezi biti Hassan(shikamoo) popote pale alipo.Baada ya kuona wanamtilia kelele akatangaza anaunda kamati ichunguze kama ipo au haipo.
Basi kelele zikaisha na mchezo umeisha...
Watanzania wanapenda kuambiwa hivyo hivyo na hata kama hautafanya!!

Kimya!! kelele za mbowe na lissu kwenye corona kimya

Samia na JPM wanachofanya ni kilekile

Ila eti JPM alikuwa mbabe zaidi ana lugha mbaya, huyu ana lugha tamu
 
Back
Top Bottom