Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

Kwanini kama watu wanahitaji maendeleo hizo PhD za heshima anazopewa Samia kila kukicha zinamsaidiaje mtanzania kimaendeleo?

Mnapompamba kwa PhD hizo za heshima muwe tayari kusikia msiyoyapenda kuyasikia ikiwemo kutrace back path yake kielimu kupata nishani za darasani.

Is that even hard to grasp ndg wakili?
Hizo PhD za heshima ni recognition ya juhudi zake as appreciation to encourage her to do more. Ukipewa good services yoyote, na kusema asante, hiyo asante haisaidii kitu, ila its good to be appreciative.

Hata mimi humu ni mwalimu mzuri wa appreciation
Appreciation, Appreciation, Appreciation
P
 
Rais Samia alivyokuwa anaanza urais alikuwa idealist fulani hivi, maridhiano, demokrasia, 4R , Rule of law n.k
Baadae akaja kuona upuuzi wa siasa za Afrika, akaamua kuwa pragmatic kama Magufuli
Aligundua anatawala mang'ombe na mapunda ambayo hayaendi bila kichapo....ukiyaletea diplomacy yenyewe yanakuona ni dhaifu unayaogopa...bado Sabaya naye atarudi aendeleze kichapo!
 
Nyerere hakufilisi uchumi wa nchi. Nyerere alianzisha mashirika na viwanda vingi tu lakini hakujua watanzania ni wezi na wavivu wa kutupwa. Enzi za Nyerere watu waliokuwa wanasoma bure. Hospital bure. Kulikuwa mpaka na kupewa warrant wa kusafiri kwa wanafunzi na watu wengine kama wanamuziki. Kwa kifupi watu wa kawaida ndiyo walikuwa wana-enjoy keki ya Taifa. Hebu nionyeshe katika hizi nchi za sub-Sahara African countries ni nchi ipi wananchi wake walikuwa wanaishi vizuri kama Tanzania kipindi cha Nyerere! Nyerere mpaka raslimali aliziacha kwa matumizi ya baadae. Sasa hizi wanashindana kuzipiga bei.
Nyerere ndiyo alianzisha utamaduni wa mwenzetu....ukiiba shirika moja unahamishiwa jingine ukaibe tena.

Kwenye viwanda na mashirika ya umma ilikuwa ni lazima kuwepo tawi la chama na mwenyekiti wa tawi alikuwa ni mtu ana nguvu kuliko meneja mkuu wa kiwanda...uchumi ulitumika kuimarisha chama badala ya sera nzuri za chama kuimarisha uchumi...

Kwenye uchumi, Nyerere was an absolute failure!
 
Mkuu P.,
Shukrani sana kwa hili. Kwa andiko hili la Mh. Rais naamini na mengine mengi yatafuata tupate uzoefu wake katika serikali na asasi binafsi alikopitia. itasaidia kuibua mijadala tofauti tofauti!
 
Nchi haina wasomi hadi rais ndo aandike paper? au kuwa rais unatakiwa uwe na publications ngapi.....tuanzie hapo kwanza.
 
Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.

Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.

Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Kiongozi wa nchi aliyeshindwa kusoma mkataba wa bandari na kuulewa anapewa heshima ya PhD ni ujinga
Aliipokea nchi ikiwa uchumi wa kati leo tupo ziro!
Alafu unampa PhD?
 
Basi usiongee mambo usiyoyajua. Tiny Rowalnd alikuwa anamiliki kampuni ya LONRHO - Yaani London Rhodesia akiwa anashikirikiana na utawala wa ubaguzi wa rangi wa smith huko Rhodesia (ambayo leo ni Zimbabwe). Hapa kwetu hakuwa na kiwanda cha kutengeza matrekta bali alikuwa na mashamba ya chai huko nyanda za juu na Korogwe, pamoja na kiwanda cha mabkosi cha printpak. Kiwanda cha Valmet kililetwa na Nyerere kutoka Finland.

Alifukuzwa Tanzania mwaka 1977 muda mfupi baada ya kuzaliwa CCM kwa kutokutii maamuzi ya umoja wa mataifa kuhusu vikwazo Zimbabwe
Sasa hukuona nimemuandika Tiny na LONRHO?

Nisiyoyajuwa na nimeyaishi? Unataka kusema nini ewe poyoyo.

Alikuwa na kiwanda na kilikuwa Pugu Road kama huelewi, kilikuwa kinaunganisha matrekta mdogo mdogo, wakataka kukiongezea ukubwa ndiyo Nyerere akaleta zake. Unjuwa matokeo yake au nikukumbushe?

Matokeo Tiny Rowland akaja Tanzania, akamwambia Nyerere kwa utaratibu kabisa kupitia balzi, rudisha vyote ulivyonitaifisha ulipe na gharama au umejiumiza. Nyerere akafanya ubishi.

Tokea hapo tukabaniwa kila kitu kimya kimya na nchi za magharibi. Unalijuwa hilo. Tukawa nyang'a nya'a tukasingizia vita imetutia umasikini. Voita itutie umasikini wakati sisi tyumetumiwa na Waingereza na Wayahudi tu?

Wewe wadanganye mapoyoyo, mimi nimeuisha huo wakati na nnalijuwa hilo sakata kwa details moja moja.,
 
Kiongozi wa nchi aliyeshindwa kusoma mkataba wa bandari na kuulewa anapewa heshima ya PhD ni ujinga
Aliipokea nchi ikiwa uchumi wa kati leo tupo ziro!
Alafu unampa PhD?
DP World wapo au hawapo?

Vipi ile mikataba ya Kibudu wa jalalani na Profesa uchwara wa madini? Nasikia tunainya mipesa sasa hivi.
 
Unaongea mambo ya kisimuliwa tu; sijui wewe wakati huo wewe ulikuwa wapi kwani ilitokea mwishoni mwa mwaka 1977 baada ya msuguano na Azimio la umoja wa mataifa. Alihangaika sana kuikaba Tanzania lakini hakufanikiwa kabisa. Wakati mwingine watu wenye mtazamo mfupi kama wewe hupenda kuchanganya matokeo ya vita mwaka 1980 na matokeo ya sera za nchi kabla ya 1979.
Nimeyaishi hayo tena nna akili zangu timamu, labda wewe ndiyo umehadithiwa.

Hakuna cha msuguwano wala nini, nyerere alikuwa haambiliki, akakuta Tiny Rowlands chizi kuliko yeye.

Kwani UN walisema wataifishwe? Tumia kichwa chako kufikiri japo kidogo.

Alifikiri Muhindi yule aliyewadhulumu mali zao?
 
Japokuwa umejaza sababu zisizoendana na swali ulilo ulizwa

Tatizo sio wasomi kuandika paper ni papers hazifanyiwi kazi. Huo umekuwa utamaduni wa nchi.
Or for someway wasomi hawadhaminiki na siasa ndio zinaamiwa zaidi.
Paper zipiza kufanyia kazi? Kuna wasomi hapa? Hapa kuna mabaki ya wanaojidai wasomi, Unafikiri Wazungu wajinga wanaotowa scholarship za bure?

Cream yote inabaki kule, ukiona mtu karudi huku na alipewa scholarship ya kusoma nje, wazungu hawajambakiza kule kwao, ujuwe hilo bomu tu.

Kuna vichwa nje huko si vya kawaida kuna kina Dr. Mohamed Tuli huko, alirudi hapa kidogo tu wakati wa Vita ya Iraq, iliposita tu akafatwa mbio mbio huku asipazowee.

Kuna list ya cream ya Watanzania na shughuli wanazofanya nje huko utashangaa.

Wengi wanaorudishwa huku kama kina Kibudu ni ma[poyoyo na wanatumika kama vijipeleka habari kwa wazungu huko, ni ma agent tu wakijinga jinga.

Hta Nyerere alipopewa nchi wazungu alihakikisha ofisini kwake anawekwa mwanamke wa wa kizungu miaka yote aliyokuwepo pale ofisini, na katolewa hukohuko kwao jikoni, Jiulize kwanini?
 
Mwehu nini? bara siyo kwetu? Nendeni kwenu uarabuni sijui kwanini hampataki
Soma vizuri historia yako kijana, Mwarabu umemkuta huku pwani kakupokea. Wewe wakuja tu. Hii unayooita bara wala hujakosea hili lote lilikuwa bara la Zenj "Zenjbar".

Huna historia huku kabisa. Tena wewe unaonesha huna hata miaka 5 huku au labda ulikuja kutenbea tu na kurudi kwenu sijuwi pori gani huko.

Wenyeji wa pwani hawaongei kijinga kama wewe. Madrassa ziliwafunguwa ubongo, wewe bado bongolala.
 
Back
Top Bottom