Kila nikiangalia picha za ' Tajiri ' Mzee Reginald Mengi wakati alipokuwa na Rais Mstaafu wa awamu na nne Mzee Kikwete ' body language ' yake ilikuwa ni ya furaha sana na ulikuwa unaona ' confidence ' kubwa mno Kwake ila kila nikizitizama picha za huyu huyu Mzee ( namaanisha Reginald Mengi ) alizopiga na anazopiga sasa na Rais wa awamu hii ya tano namwona akiwa na Nyuso ya Uwoga, hana ' Confidence ', anatetemeka sana halafu ni kama vile pia huwa anataka ' Kulia ' ila tu anajikaza.
Nini kimemkumba Mzee Reginald Mengi?
Nawasilisha.