Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Niliwahi kusoma mahali humu humu JF "mkuu ndugu", ikabidi nicheke tu.
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Hii ni heshima isiyokuwa ya kijinsia (gender neutral address). Badala ya kumuita mtu kaka, dada, mama, baba, shangazi, mjomba, nk. basi neno mkuu linakidhi title zote hizi.
 
Hii ndio itakuwa thread ya kwanza humu ndani kuwa na neno ''mkuu'' kuliko zote jf.
Twaweza endelea wakuu.
 
Nikwambie MKUU kwakweli nimefurahi sana mkuu. Kwakweli nimeamini ukiwa humu kila mtu ni mkuu.poapoa asubuhi njema mkuu
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Huo ni ukuu wa mkoa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom