Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Mbona mi sijayaona hayo matumizi?

We umeyaona wapi Kwani Mkuu??
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Mkuu Makamee,

Mkitoka "Depo" na mnataka kuwa "WAKUU" kuliko hata "Mkuu"?
 
Last edited by a moderator:
Waliniiga maneno ninayoyaumia, lakini nafurahi kuwa role model wa wengine mkuu
 
Unajua nn mkuu, sio kwamba kila mtu ni mkuu mkuu, wakuu wa Jf wanapenda kutumia mkuu....Java script Error. Loading please wait....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom