POSITIVE ENERGY
Member
- Oct 29, 2024
- 20
- 33
Hivi ni nini hasa kilipelekea ww kujiunga na jukwaa hili la JF au wengi huwa wanafuta mkumbo tu baada ya kuona kwa watu ?
The same to me.... mkuu!Rafiki yangu aliniambia kuna madini sana humu
Kuna thread kama hii tulishatoa majibu yetu.
Aiseeehh!!!!!
Hakuna member mpya jf,Kuna wengi ni member wapya na hawajauona huo uzi kiongozi