Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

Nani alikwambia kuwa uchi ni vibaya?

Hayo yote umefundishwa tu, kitu ambacho kinadhihirisha kuwa hakuna aibu ya asili kwa kuwa uchi.

Aibu ni jambo la kujifunza tu. Unaweza ukabadilisha fikra na ukaanika kinyeo chako hadharani bila tabu yoyote.

Nataka mwakani nianze kutembea na chupi kichwani huku pumbu lote liko wazi.
 
Nani alikwambia kuwa uchi ni vibaya?
Kwa jamii ya sasa kukaa uchi ni vibaya we jaribu kutembea uchi uone kama hujafungwa kamba
Hayo yote umefundishwa tu, kitu ambacho kinadhihirisha kuwa hakuna aibu ya asili kwa kuwa uchi.

Aibu ni jambo la kujifunza tu. Unaweza ukabadilisha fikra na ukaanika kinyeo chako hadharani bila tabu yoyote.

Nataka mwakani nianze kutembea na chupi kichwani huku pumbu lote liko wazi.
Leo una mbupu sio K tena 🙌🙌🙌
 
Madam ulikuwa na maana kwamba kama tungeishi kwenye dunia ambayo haina viwanda vyovyote vile kabisa au ?
Umesema uchumi kwenye sekta ya nguo
Na mi nikauliza uchumi utaporomoka vipi na wakati haujawahi kuwepo

Ni kama kusema kwamba uchumi kwa ufugaji panya umeteteleka na wakati haujawahi kuwepo

Au wewe ulikua na maana gani?
 
Nani alikwambia kuwa uchi ni vibaya?

Hayo yote umefundishwa tu, kitu ambacho kinadhihirisha kuwa hakuna aibu ya asili kwa kuwa uchi.

Aibu ni jambo la kujifunza tu. Unaweza ukabadilisha fikra na ukaanika kinyeo chako hadharani bila tabu yoyote.

Nataka mwakani nianze kutembea na chupi kichwani huku pumbu lote liko wazi.
Kwenye paragraph ya tatu nakuunga mkono asilimia mia.
 
Back
Top Bottom