Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,905
sawaMi najua muda wake wa kulala, so akilala tuendelee kuchati.
sawaMi najua muda wake wa kulala, so akilala tuendelee kuchati.
Kuvaa nguo ni upumbavu, tatizo ni kwamba usipovaa utazongwa na kukamatwa, aliyesababisha/aliyeanzisha binadamu kuvaa nguo/kujisitiri alaaniwe.Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu
Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha yangekuaje?
Nikajiuliza pia hivi ni nani alipata wazo la kuvaa nguo
Aliwaza nini ?
Ni baridi kali ilimsukuma?
Au jua kali kupita kiasi?
Au aibu ?
Kama ni aibu alijuaje hii ni aibu ?
Maana kwa viumbe hai nadhani mwanadamu ndio anavaa nguo
Mada yangu naigawanya sehemu mbili wewe mdau utajibu upande unaopenda
👇
Mtazamo wa kidini
Kwa mujibu wa Biblia, baada ya Adamu na Hawa kula tunda walilokatazwa, wakafumbuliwa macho wote wawili, wakajua kuwa wako uchi wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo (Mwanzo 3:7)
Baadaye Adamu akasema:
Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha (Mwanzo 3:10)
Hapo tunaona Adamu alikua akiishi mtupu na hakuwahi kugundua kua alikua mtupu alikua kawaida
Baada ya kula hilo tunda ndio akagundua kua yupo uchi yeye na Hawa
Swali la kujiuliza kama Adam aligundua kua yupo uchi baada ya kula tunda
Hii ina maana mwanzo hakujua chochote na alikua akiishi mtupu
Je huko kwenye bustani ya Edeni hakukua na baridi?
Kama lilikuepo mbona hakusikia?
Je hakukua na jua kali ?
Kama lilikuepo mbona hakulisikia?
Au kulikua na mazingira rafika kwa kuishi mtupu?
Je, simulizi hili linaonyesha kwamba desturi ya kujisitiri ilianza hapo, au ni fundisho la kiroho kuhusu dhamiri ya mwanadamu?
Mtazamo wa kifalsafa 👇
JE , nguo ni matokeo ya akili ya mwanadamu kutafuta ulinzi dhidi ya baridi, jua na mazingira, au ni makubaliano ya kijamii kuhusu staha na utambulisho?
Leo utasikia mtu wa kwanza kugundua simu ni fulani
Aliegungua radio ni fulani
Hivi ni nani wa kwanza aligundua kwamba watu wavae nguo badala ya kutembea watupu?
Kama tungekuwa kama wanyama wengine wasiovaa nguo, je, maadili na maisha ya jamii yangekuwaje?
Yaani tuwe kama ng'ombe , Mbuzi ,
Au wanyama wa mwituni
Yaani tungekua tunapeta naked ingekuaje😅🙌
ShesRise_1 ✋️
sasa umeweka kwenye line ambayo nimeiacha nyumbani ba mtu 🤣🤣tuma tena kwenye hii nyingineBill kitu gani bana wewe
angalia simu yako nimeweka hela halafu log out upumzike sahivi😁
Pumzika tutaongea kesho busasa umeweka kwenye line ambayo nimeiacha nyumbani ba mtu 🤣🤣tuma tena kwenye hii nyingine
Nafanya tu matani 😁Endelea naona huzipendi Taya zako😁
Nimekuja kuona wengi huwa trapped katika nadharia hafifu za maandiko...Mtazamo wa kidini ni wakipuzi ukiubeba kama ulivyo, bila kujua walikusudia kumaanisha kitu gani( code ).
unarusha mawe kwenye kambi ya jeshi halafu unasema ni matani eh vizuriNafanya tu matani 😁
secretarybird njoo mwayaPumzika tutaongea kesho bu
Kwanini kuvaa nguo ni upumbavu kaka😅Kuvaa nguo ni upumbavu, tatizo ni kwamba usipovaa utazongwa na kukamatwa, aliyesababisha/aliyeanzisha binadamu kuvaa nguo/kujisitiri alaaniwe.
Muendekeze sahivi ila wakati anakufata Taya imening'inia kwa chini hawezi kunena ndio utainjoisecretarybird njoo mwaya
Hahahaha kwamba mnara ukisoma 5g tu tayari ni safari tuMadomo zege yangefurahi kweli, mchawi speed ya kufukuzia uchi, na nguvu. Kama mbwa tu yani.
Mkuu, ungeniambia mapema kuwa Amehlo ni wako Mimi nisingemwacha Lucy 🥲unarusha mawe kwenye jambo ya jeshi halafu unasema ni matani eh vizuri
mi ni wake sawa ila trust me we ni wangu
Mbona huyo jamaa anajidai soldier, ni kweli?secretarybird njoo mwaya
atoe wapi usoldierMbona huyo jamaa anajidai soldier, ni kweli?
step aside buddy
Hahaha akili za namna hii hazifai katika jamiiingekua raha unajichagulia zako kabisa inayokutosha kabisa ukiangalia unaona hii ndo yenyewe🤣🤣🤣
Kwa hiyo ni kama chain, siyo? Sasa nimefurahi kusikia hivyo.mi ni wake sawa ila trust me we ni wangu
Niachie tu mkuu. Anasema hana hisia nawe.step aside buddy
staki lawama kutokana wazazi wako,
au sio🤣🤣🤣Hahaha akili za namna hii hazifai katika jamii