Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Kama mwalimu unamwandika mkuu wa nchi kihivi, kwa kweli nawaonea huruma anaowafundisha.

Umelazimishwa kufanya kazi hiyo?

Haujiheshimu kabisa

Jipige vibao
Mwache aseme hisia zake...USIMLAZIMISHE HISIA ZAKE ZIWE KAMA ZAKO...AMESEMA KILE ANACHOONA KINAMKWAZA...WEWE UNATAKA WALIMU MAKASUKU?
 
Nimekuelewa vizur mkuu lkn kauli zako juu ya kiongozi wa nchi kama rais sio nzur jitahid uwe na utulivu pia utambue kama rais kakukwaza ukaona bora afe tambua pia wazazi wako ama watoto zako pia wakikukwaza utatamani nao wafe ambao sio jambo zuri.
 
Wazazi ndio waliniongoza hadi kufika UDSM,pia ndugu zangu hawawezi kuniumiza kama Sizonje.
Nimekuelewa vizur mkuu lkn kauli zako juu ya kiongozi wa nchi kama rais sio nzur jitahid uwe na utulivu pia utambue kama rais kakukwaza ukaona bora afe tambua pia wazazi wako ama watoto zako pia wakikukwaza utatamani nao wafe ambao sio jambo zuri.
 
Duuuuh, hivi na wewe in Mwalimu
Sasa nimegundua kwa nini wanafunzi hawawezi kufaulu
Anyway, you're the teacher, you should know better
Maslahi yepi ya Mwalimu yaliyozuiwa hasa...!?
Unatuambia hela ya uhamisho ndio ilikuwa inafanya maisha kuwa Rahisi, usipohama je...!?
Au hela ya likizo, miezi ambayo huendi likizo inakuwaje? au hela kupanda daraja, Mara moja kila baada ya miaka mitatu.. Hapa kati unaishija
Nikuambie tu ndugu yangu kama hukushiba wa kwenye sahani... sidhani kama utashiba kwa kula uliodondoka chini
Tunajua hata Mwalimu alikuwa anapiga dili
1 michango ya mlinzi
2 michango Umeme
3 michango ya Maji
4 michango ya makaratasi
5 michango ya mitihani ya kila Jumamosi
6 michango ya tuition za kulazimishana
7 michango ya madawati, madarasa, uzio n.k
8 michango ya uji
9 michango ya solved papers
10 Pamphlets
11 Past papers
12 Summary za masomo
13 Michango ya kununua kitabu cha Mwl Fulani
14 T-shirts zinzonunuliwa shule tu
15 nguo za michezo xinaxopatikana shuleni tu
16 Shilingi mia, kununua barafu/visheti vya Mwl.
17 Michango ya Flip chart & Markers....
18....
19....
20.....

Baba Maguuu, Kaza hata Waalimu walikuwa mafisadi
Kusomesha wanangu watu sijui ingekuwaje[/QUOTE]
 
Usijifiche kwenye FAKE ID weka majina yako yote kamili na useme ukweli ni wapi unakaa na URUDIE tena maneno hayo ya UPUUZI yakumtakia mabaya mkuu wa Kaya.
Halafu tuone nani kati ya yeye na wewe aliye na AKILI!
Yeye ndiye mwenye akili Sema tu NGUVU hana
 
Kupiga dili ni msamiati tata na ninaamini sote tulipiga dili bila kujijua. Mf mie nilikuwa na kimama ntilie na wapiga dili wakijenga makasri wanaajiri vibarua wao wanakula kwangu na hapo dili limenitambalia. Vibaa,vyumba vya kupanga,nk vikashamiri sana kwa mtindo huo.Leo hakuna.
 
ulaaniwe wewe unayemchukia jpm champion wa maendeleo ya kweli ya watanzania. ama wewe ndio mwenye akili mbaya ama ni fisadi mtumbuliwa au mrija wa kinyonyaji umefyekwa. lia hadi ujaze ndoo ya machozi..nchi inasonga mbele bila wanyonyaji wezi wabadhirifu wa mali ya umma.
Kwani Mungu wa magogoni ndyo jpm?
 
Kuwa mkweli na utumie ubongo kufikiri, Rais amezuia haki gani ya mtumishi yeyote mbali na Mwalimu? Mishahara inapatikana tarehe 21-23 tofauti na hapo awali , madeni ya walimu yamelipwa nakubaki 8% tu. Sasa kunapato gani lakwako wewe unayejiita Mwalimu limezuiliwa hadi udai kuwa uchumi umeshuka? Mimi ni Mwalimu nimefanya kazi Leo ni mwaka wa 6 nafundisha shule ya secondary Misungwi, naona Rais anafanya kazi nzuri sana kuwa kutokea, nadhani alitakiwa kutokea baada tu ya Baba wa Taifa. Kwa jinsi unavyolalamika yamkini wewe ni LICHADEMA kwa wapenda kulalamika, wapenda kubeza kila kila kitu kinachofanywa na Wana CCM, lakini NDIYO wakwanza kuwakimbilia wote wanaoachwa na CCM nakudai eti siasa SIYO uadui, wakisahau kuwa wale wale NDIYO waliowahi kuwazuia Wabunge WAO kusalimiana nakushirikiana na Wabunge wa CCM. LEO WAMEKUWAJE MARAFIKI.? Ukweli kuwa Chadema lazima uwe na roho ngumu.
Ovyooo ualimu miaka sita na hata akili yko INA UMRI WA MIAKA SITA....
 
Huyu sio Mungu bali huyu ni Shetani wa magogoni kama anafananishwa na Mngu basi atakuwa mungu wa herufi ndogo! Mungu hutuongoza kwa sheria ila shetani hutuongoza kuelekea KIMBALI (Genocide) hivi huyu shetani hajawahi kuugua hata homa tangu ahamie magogoni? Na tangu Sasa sintofundisha darasani labda nisikie mkuu wa mkoa atatembelea hapa shule na hata akija labda aingie kwnye kipindi changu ila asipoingia class nitaanza kufundisha kinyume mpaka haki zangu zitakapo kamilika walimu tunadharauliwa sana sasa tutaonyeshag
 
Hakuna kufundisha ila kila siku tunaenda kusaini wacjesema mtoro, nitafundisha nikisikia shetani wa maeneo ya magogon atatembelea huu mkoa! Mbaya zaidi mi ni mwalimu wa Biology na Chemistry shule ina walim 19 sayans tupo wawili yaani tulikuwa tunagonga chaki ile mbaya Sasa ni mwendo wa kula bata tunaenda kusaini basi kwa7bu haiwezekani nifanye kazi na stress za kutolipwa haki zangu huku namwomba Mungu halaf kazi nasimamiwa na shetani, nasema nitafundisha kwa synopsis ambae atasema ati hajaelewa atakula fimbo na matokeo yatafanana na yale ya O' level ya mkuu wa mkoa wa DSM maana tunadharauliwa akati vyeti tumetesekea wakati huo waliopewa vyeti vya bure wanakumbatiwa! Pia kuna hawa mabinti lazima tule misambwanda angalau tujilipe pension sasa kwa hali hii ukiwa na dent unampa 50 kila mwez mimi sintakula msambwanda hadi niuchoke na bado matokeo bashite! Mniache tafadhar mzee shetani si amemwaga mboga nami ngoja nimwage ugali kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom