Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Sizonje ameleta shida.
Rais Kiwete aliuliza ndio wafanyakazi hewa kadhaa vipi mbona hajaajiri wengine? Vyeti fake mbana nakoajira hamna? hakuna tutaona rangi zote nakwambia... Bora hata
 
Unafikiri ningefanyaje?
Nonsense.
we mwalimu mbumbumbu kweli hujui kama kuna namna ya kuwasiliana na wahariri juu ya usahihi wa walichokirekebisha?

Kama wapo sahihi hukutakiwa kujitetea kuwa wahariri wamebadili.
 
Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).

Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema wote.

Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?

Huyu mkuu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.

Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.

Hali imekuwa mbaya tangu huyu alipoteuliwa kuwa mtu ambaye hajaribiwi.


Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.
Those are victims of inadequate political knowledge. Their political understanding is -25%
 
mkuu sasa unadhani ukimpinga diamond plutnumz watasema wewe ni team gan kama sio team kiba mkuu koo inatokeaga mkuuu
 
Bullshit.
Unafikiri kwanini wamerekebisha.
Unataka nianze kubishana nao.
Nonsense.
we mwalimu mbumbumbu kweli hujui kama kuna namna ya kuwasiliana na wahariri juu ya usahihi wa walichokirekebisha?

Kama wapo sahihi hukutakiwa kujitetea kuwa wahariri wamebadili.
 
Ukiona watu wanafikia hapa ukae utafakari!!!
yeye anaona pouwa tu.........
anajiaminisha kuwa anapendwa na kuogopwa ........ anachekesha angejua raia wanavyomtusi huko street angefunga na kuomba mwaka mzima
 
Kutokujua taratibu za Jf ni mbumbumbu.
Stupid like rats
we mwalimu mbumbumbu kweli hujui kama kuna namna ya kuwasiliana na wahariri juu ya usahihi wa walichokirekebisha?

Kama wapo sahihi hukutakiwa kujitetea kuwa wahariri wamebadili.
 
Bullshit.
Unafikiri kwanini wamerekebisha.
Unataka nianze kubishana nao.
Nonsense.
Siyo kubishana nao rejea sababu ya jibu ulilojibu kupelekea kufika hapa...

Hivi kama nawe ni mwalimu kweli wanetu wana kazi
 
Kinyago tumechonga wenyewe tukaweka sebuleni kinatuogopesha kilamara tuingiapo ndani kwanini?
 
kutokujua si umbumbumbu umbumbumbu ni kujifanya unajua halafu unakosea.
Wapi nilipo kosea.
Mods wameamua kubadili kichwa cha habari halafu naambiwa niwasiliane nao wabadili tena,au hujaelewa.
 
Kama mwalimu unamwandika mkuu wa nchi kihivi, kwa kweli nawaonea huruma anaowafundisha.

Umelazimishwa kufanya kazi hiyo?

Haujiheshimu kabisa

Jipige vibao
tumia akili kaandika kwenye jukwaa hili nasio kamuandikia raisi. kaandiks apa ili vobaraka wake mfikishe
 
Unamtakia mema wakati yeye anakumaliza.
Ukimuona mtu anamlalamikia Rais JPM moja kwa moja huyo mtu anamachungu ya kutumia Vibaya kura yake mwaka 2015 Oktoba 25, unajua wakati mwingine kukariri badala ya kuelewa matokeo yake ni mabaya sana, Watu wa jinsi hii ni wale waliokariri kuwa kila mtu mwenye Nvi kichwa kizima, ndiye mwenye busara na ndiye akawa chaguo lao kumbe wakawa wamepoteza kura zao. Watz wengine sana walikuwa waelewa mno, hawakutishwa na Nvi, wala Ukaskazini, WAO walitumia kura zao vizuri kabisa. Na kwa Utashi wa Mungu, JPM akapatikana na ndiyo maana anafanya kazi nzuri. Hatushangai kuona watu wanapinga bila sababu, tabia hii ya kupinga kila kitu na kujiinua ilianzishwa na Lusifa malaika Mkuu huko mbinguni, akampinga Muumbaji na kushawishi baadhi ya malaika kuwa hakuna cha maana Mungu anachofanya. Lakini Nguvu ya Mungu ni kuu, Mungu alimtupa Duniani na akawaathiri hata baadhi yetu, ndiyo maana hata Leo bila aibu wanaibuka mitandaoni kumlaumu Rais ambaye kwa dhati ya Moyo wake anajitahidi kukuza uchumi, kupunguza tofauti kati ya mwenye navyo na wasio navyo, kupambana na rushwa, kupambana na madawa ya kulevya, kuboresha miundo mbinu, kuboresha mifumo ya uawajibikaji(nidhamu), Leo mnaanza kulaumu Ovyo Ovyo, hamuoni mnaiga tabia za SHETANI?
Mmmh kaka umenena...toka kumoyo...ile kauli ulosema unatamani atangulie yeye mmmh HAPANA...TUNAPASWA TUMUOMBEE UHAI ILI AIONE TANZANIA MPYA YENYE NEEMA TELE..

Pia wale wanaomtetea hupewa chama cha kijani aka lumumba

Ndio ujue kuwa ana matatizo.
 
Back
Top Bottom