Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Hayuko sawa kila mara anarudia mimi ndio Rais wa Tanzania kwani nani hajui.

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anapomuona huyu rais na kumpima kwa kauli na vitendo vyake anajua Moja kwa Moja hakuchaguliwa kuwa rais Bali walimuweka tu. Haya ndo madhara ya kuwa na tume za uchaguzi kama hii ya kiccm.
 
Max unaachiaje uzi ka huu! ukiwekwa ndani kweli utataka tuje tukuwekee dhamana?
 
Si uache ualimu na utafute wenzio muendeleze operations laptop [emoji876]

Wewe unatakiwa ufanye kinachokustahili na haya malalamiko yako ungeyafafanyia kazi 2020.

Walimu ndio mlikuwa wapiga deal wakubwa ingawa wewe mleta mada si mwalimu bali mtumishi wa upande wa 2

Nchi hii ni ya ngapi sasa kwa ukuaji wa uchumi barani afrika?

Wewe unapiga kelele sasa niambie ni lini watu waliishasema sasa maisha ni super tanzania au popote duniani?

Ni Canada [emoji1063] tu ....,hao wanaowapa laptop mnashinda mitandaoni waulizeni wana uchungu na nchi hii au hasira ya hasara walizopata baada ya uchaguzi kwa fedha za mafuriko fake?

Tanzania itajengwa na wenye moyo [emoji1241][emoji1545]viva bulldozer
 
Hilo ni kweli lakini kuwaza kutamani mtu afe..... Hiki wakikubughudhi kusema unahatarisha usalama wa Rais kuwa ukipata nafasi utamuua inakaaje hiyo?
Bora mimi nimeandika hapa kuliko wanaowaza kumfanya vibaya kwa kuwatumia wenye nguvu hapa duniani.
 
Inaonyesha IQ yako ndogo, sorry kama imekuudhi.
Elewa kwenye siasa wapo wapiga kura wanaoweza kuwa washabiki wachama flani lakini sio wanachama kama mimi. Kuwa mwanachama ni mpaka ujisajiri na kutambulika na chama husika.
wewe humu unashabikia chama gani kwenye jukwaa letu la siasa?
 
Kuwa mkweli na utumie ubongo kufikiri, Rais amezuia haki gani ya mtumishi yeyote mbali na Mwalimu? Mishahara inapatikana tarehe 21-23 tofauti na hapo awali , madeni ya walimu yamelipwa nakubaki 8% tu. Sasa kunapato gani lakwako wewe unayejiita Mwalimu limezuiliwa hadi udai kuwa uchumi umeshuka? Mimi ni Mwalimu nimefanya kazi Leo ni mwaka wa 6 nafundisha shule ya secondary Misungwi, naona Rais anafanya kazi nzuri sana kuwa kutokea, nadhani alitakiwa kutokea baada tu ya Baba wa Taifa. Kwa jinsi unavyolalamika yamkini wewe ni LICHADEMA kwa wapenda kulalamika, wapenda kubeza kila kila kitu kinachofanywa na Wana CCM, lakini NDIYO wakwanza kuwakimbilia wote wanaoachwa na CCM nakudai eti siasa SIYO uadui, wakisahau kuwa wale wale NDIYO waliowahi kuwazuia Wabunge WAO kusalimiana nakushirikiana na Wabunge wa CCM. LEO WAMEKUWAJE MARAFIKI.? Ukweli kuwa Chadema lazima uwe na roho ngumu.
 
Kwa hali iliyofikia nikipewa Bomu najilipua!

Bokoharam, alqaeda walianza hivi hivi!
Point of no return!
 
Vipi annual increment ulipata.
Je umewahi kupanda daraja.
Najua wewe ni mwalimu wa msingi maana ndio mnachafua fani ya ualimu.

Kuwa mkweli na utumie ubongo kufikiri, Rais amezuia haki gani ya mtumishi yeyote mbali na Mwalimu? Mishahara inapatikana tarehe 21-23 tofauti na hapo awali , madeni ya walimu yamelipwa nakubaki 8% tu. Sasa kunapato gani lakwako wewe unayejiita Mwalimu limezuiliwa hadi udai kuwa uchumi umeshuka? Mimi ni Mwalimu nimefanya kazi Leo ni mwaka wa 6 nafundisha shule ya secondary Misungwi, naona Rais anafanya kazi nzuri sana kuwa kutokea, nadhani alitakiwa kutokea baada tu ya Baba wa Taifa. Kwa jinsi unavyolalamika yamkini wewe ni LICHADEMA kwa wapenda kulalamika, wapenda kubeza kila kila kitu kinachofanywa na Wana CCM, lakini NDIYO wakwanza kuwakimbilia wote wanaoachwa na CCM nakudai eti siasa SIYO uadui, wakisahau kuwa wale wale NDIYO waliowahi kuwazuia Wabunge WAO kusalimiana nakushirikiana na Wabunge wa CCM. LEO WAMEKUWAJE MARAFIKI.? Ukweli kuwa Chadema lazima uwe na roho ngumu.
 
Hivi unajua amezuia haki zetu,acha kumtetea wakati alitoa miezi miwili sasa mwaka unakaribia.
Kinachonishangaza kazuia uhamisho wa tamisemi ambao watumishi hawalipwi hata mia, kwa kisingizio cha uhakiki, na watumishi hewa....
Sasa mbona watu wanatoka dar na kwenda Dom tena kwa malipo, kwanini kazuia uhamisho huu!!!!!
 
Ndio ujue kuwa ana matatizo.

Kinachonishangaza kazuia uhamisho wa tamisemi ambao watumishi hawalipwi hata mia, kwa kisingizio cha uhakiki, na watumishi hewa....
Sasa mbona watu wanatoka dar na kwenda Dom tena kwa malipo, kwanini kazuia uhamisho huu!!!!!
 
Pia wale wanaomtetea hupewa chama cha kijani aka lumumba
 
Mmmh kaka umenena...toka kumoyo...ile kauli ulosema unatamani atangulie yeye mmmh HAPANA...TUNAPASWA TUMUOMBEE UHAI ILI AIONE TANZANIA MPYA YENYE NEEMA TELE..
 
Mmmh kaka umenena...toka kumoyo...ile kauli ulosema unatamani atangulie yeye mmmh HAPANA...TUNAPASWA TUMUOMBEE UHAI ILI AIONE TANZANIA MPYA YENYE NEEMA TELE..
Unamtakia mema wakati yeye anakumaliza.
 
Back
Top Bottom