Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
hicho ndicho kitu kisichopendwa kuliko kingine chochote katika nchi ya DANGANYIKANimechochea au nimeandika ukweli.
hicho ndicho kitu kisichopendwa kuliko kingine chochote katika nchi ya DANGANYIKANimechochea au nimeandika ukweli.
KWA SABABU UMAHIRI NA UJUZI HAVIHITAJIKI NDIO MAANA VYETI HAVIHITAJIKI TENA!!Halafu unajua nini, hakuna kiongozi aliyezungumzia kufeli kwa wanafunzi.
Kila siku kiki za hapa na pale.
KWA SABABU UMAHIRI NA UJUZI HAVIHITAJIKI NDIO MAANA VYETI HAVIHITAJIKI TENA!!
kweli kabisa.lakin hawaelewagi hiyo.wanajali matumbo yao tu kwa kodi za walalakoi.Ukiona watu wanafikia hapa ukae utafakari!!!
Mkuu hii ni Tanzania, tutaangalia uchapakazi wao, ujuzi na umahiri si hoja.Sasa viwanda vitaendeshwaje bila kuwa na wajuzi??