GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,301
Wejamaa mwoga kweliWachangiaji wa huu uzi wana hela za kumlipa kibatala!
Wejamaa mwoga kweliWachangiaji wa huu uzi wana hela za kumlipa kibatala!
Kwahiyo wafanya kazi wa sector zote wakiacha unategemea nin? Kuyakataa matatizo sio ndio kuyatatuamnalalamika nini si muache kazi?
uliuza chaki.Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).
Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema wote.
Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?
Huyu mkuu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.
Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.
Hali imekuwa mbaya tangu huyu alipoteuliwa kuwa mtu ambaye hajaribiwi.
Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.
Ukimuona mtu anamlalamikia Rais JPM moja kwa moja huyo mtu anamachungu ya kutumia Vibaya kura yake mwaka 2015 Oktoba 25, unajua wakati mwingine kukariri badala ya kuelewa matokeo yake ni mabaya sana, Watu wa jinsi hii ni wale waliokariri kuwa kila mtu mwenye Nvi kichwa kizima, ndiye mwenye busara na ndiye akawa chaguo lao kumbe wakawa wamepoteza kura zao. Watz wengine sana walikuwa waelewa mno, hawakutishwa na Nvi, wala Ukaskazini, WAO walitumia kura zao vizuri kabisa. Na kwa Utashi wa Mungu, JPM akapatikana na ndiyo maana anafanya kazi nzuri. Hatushangai kuona watu wanapinga bila sababu, tabia hii ya kupinga kila kitu na kujiinua ilianzishwa na Lusifa malaika Mkuu huko mbinguni, akampinga Muumbaji na kushawishi baadhi ya malaika kuwa hakuna cha maana Mungu anachofanya. Lakini Nguvu ya Mungu ni kuu, Mungu alimtupa Duniani na akawaathiri hata baadhi yetu, ndiyo maana hata Leo bila aibu wanaibuka mitandaoni kumlaumu Rais ambaye kwa dhati ya Moyo wake anajitahidi kukuza uchumi, kupunguza tofauti kati ya mwenye navyo na wasio navyo, kupambana na rushwa, kupambana na madawa ya kulevya, kuboresha miundo mbinu, kuboresha mifumo ya uawajibikaji(nidhamu), Leo mnaanza kulaumu Ovyo Ovyo, hamuoni mnaiga tabia za SHETANI?
Hawajazowea kukosoana ndani ya chama....ndani huwa wanasifiana tu na zile za zidumu za mwenyekiti, balozi... etcHabari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).
Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema wote.
Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?
Huyu mkuu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.
Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.
Hali imekuwa mbaya tangu huyu alipoteuliwa kuwa mtu ambaye hajaribiwi.
Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.
Mbona amehakiki sana,watolewe wote wasio na sifa za kuwa walimu.Mwalimu vumilia tu alisema watu wataishi kama mashetani hamkumuelewa? Tena naskia uwakiki wa vyeti kwa walimu umeanza upya baada tu ya kupelekewa madai ya walimu huyuu jamaa anaroho mbaya sjawai kuiona popote
Sasa dah! Sjakuelewa hataumeandika nini kwakweli kama wewe sio mtumishi ni vyema ukajikalia kimya sio kilakitu kinachoandikwa uchangieUkimuona mtu anamlalamikia Rais JPM moja kwa moja huyo mtu anamachungu ya kutumia Vibaya kura yake mwaka 2015 Oktoba 25, unajua wakati mwingine kukariri badala ya kuelewa matokeo yake ni mabaya sana, Watu wa jinsi hii ni wale waliokariri kuwa kila mtu mwenye Nvi kichwa kizima, ndiye mwenye busara na ndiye akawa chaguo lao kumbe wakawa wamepoteza kura zao. Watz wengine sana walikuwa waelewa mno, hawakutishwa na Nvi, wala Ukaskazini, WAO walitumia kura zao vizuri kabisa. Na kwa Utashi wa Mungu, JPM akapatikana na ndiyo maana anafanya kazi nzuri. Hatushangai kuona watu wanapinga bila sababu, tabia hii ya kupinga kila kitu na kujiinua ilianzishwa na Lusifa malaika Mkuu huko mbinguni, akampinga Muumbaji na kushawishi baadhi ya malaika kuwa hakuna cha maana Mungu anachofanya. Lakini Nguvu ya Mungu ni kuu, Mungu alimtupa Duniani na akawaathiri hata baadhi yetu, ndiyo maana hata Leo bila aibu wanaibuka mitandaoni kumlaumu Rais ambaye kwa dhati ya Moyo wake anajitahidi kukuza uchumi, kupunguza tofauti kati ya mwenye navyo na wasio navyo, kupambana na rushwa, kupambana na madawa ya kulevya, kuboresha miundo mbinu, kuboresha mifumo ya uawajibikaji(nidhamu), Leo mnaanza kulaumu Ovyo Ovyo, hamuoni mnaiga tabia za SHETANI?
Na mimi yananikuta hayo hayo. Sijawahi kuchukua kadi ya chama chochote kile. Ni mtanzania ninayejali nchi yangu na ni mpenda haki ingawa sio mwana harakati. Napenda kufuata sheria, hata shule sikuwahi kuchapwa. Naamini Tanzania ni ya wote na sio ya kikundi fulani. Nachukia ubaguzi wa aina yeyote ile.Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).
Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema wote.
Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?
Huyu mkuu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.
Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.
Hali imekuwa mbaya tangu huyu alipoteuliwa kuwa mtu ambaye hajaribiwi.
Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.
Hajieshimu kivip, kitu gan cha ajabu hapo adi useme Hajieshimu?? jibwa kbsaa wwKama mwalimu unamwandika mkuu wa nchi kihivi, kwa kweli nawaonea huruma anaowafundisha.
Umelazimishwa kufanya kazi hiyo?
Haujiheshimu kabisa
Jipige vibao
Na mimi yananikuta hayo hayo. Sijawahi kuchukua kadi ya chama chochote kile. Ni mtanzania ninayejali nchi yangu na ni mpenda haki ingawa sio mwana harakati. Napenda kufuata sheria, hata shule sikuwahi kuchapwa. Naamini Tanzania ni ya wote na sio ya kikundi fulani. Nachukia ubaguzi wa aina yeyote ile.
Kama mtanzania Nina haki ya kutoa maoni yangu.
Tatizo hata chama cha walimu kiongozi wa juu ni kada wa chama kindakindakiInakera mno.
Miaka sita hakuna kitu.