Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Kwanza toa dhihaka ya 'mungu wa Magogoni'.

Pia hata wanaomsifia hupewa chama kuwa ni wana CCM , hivyo jiulize katika milengo yote.

Pia nakushauri umwone daktari wa akili eti " Hata afe" kauli mbovu kutolewa na binadamu sembuse ujiitaye mwalimu wa sekondari.
Najua umetamani afe kwa kuwa huna uwezo wa kumuua hivyo kama mwanafunzi kakukosea si utamuua.
Usijione shujaa kwa kutoa huo upumbavu wako hadharani.

Ametoa ya moyoni
 
Mwanafunzi hawezi kuninyima haki zangu,ila huyu anaekusanya kodi lakini hakuna mrejesho ndio akitangulia kufa naandaa sherehe maana ni mtu mbaya sana.
Hata walimu kuna wakati huwanyima haki zao wanafunzi hivyo wakiwaza kama wewe hakutokuwa na dunia salama
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anapomuona huyu rais na kumpima kwa kauli na vitendo vyake anajua Moja kwa Moja hakuchaguliwa kuwa rais Bali walimuweka tu. Haya ndo madhara ya kuwa na tume za uchaguzi kama hii ya kiccm.
 
Kalamu Yangu said:
Si lazima utoe ya moyoni kila mtu angeyatoa yake dunia isingekalika maana mengine ni umbumbumbu tuu.

Si kila libebwalo na moyo ni sahihi.
Kwa hiyo umetumwa kutetea udikiteta wa magogoni?
 
Ana mapungufu makubwa, lakini tumkosoe kwa hekima jamani
 
Kama mwalimu unamwandika mkuu wa nchi kihivi, kwa kweli nawaonea huruma anaowafundisha.

Umelazimishwa kufanya kazi hiyo?

Haujiheshimu kabisa

Jipige vibao
Mwalimu ndiye anatakiwa kuonyesha ukomavu wa kifikra na Wala siyo kama wewe kihiyo cha kusema ndiyo bwana
 
Si lazima utoe ya moyoni kila mtu angeyatoa yake dunia isingekalika maana mengine ni umbumbumbu tuu.

Si kila libebwalo na moyo ni sahihi.

Ukitoa la myoni huondoa msongo wa mawazo.Mwache atoe la moyoni,huwezi kujua wangapi wanawaza kama mwalimu huyo.
 
Ana mapungufu makubwa, lakini tumkosoe kwa hekima jamani

Ukiona watu wamefika hapo sababu hata RAIS amepungukiwa HEKIMA kama kiongozi.Huwezi kuwagawa watanzania kwa mantiki ya itikazi zao.

Tumsikilize JKN alivyoongelea kuhusu ubaguzi ndipo utajua kwanini mwalimu ameongea alichoongea

 
Kama mwalimu unamwandika mkuu wa nchi kihivi, kwa kweli nawaonea huruma anaowafundisha.

Umelazimishwa kufanya kazi hiyo?

Haujiheshimu kabisa

Jipige vibao
Wapi kaandika anamwandikia mkuu wa nchi? Kauli zako tofauti na jinsi ulivyo, nashangaa leo sijakusikia ukisema Makonda oyeeee.............
Kuna heshima ya kumuandikia mkuu wa nchi wa ukweli kweli na kumpa heshima zake, yeye kakuambia ndio aliyemwandikia au kujipendekeza
 
Mwalimu maneno yako ni makali sana, punguza ukali. ila sio vzr kila anaejaribu kusema ukweli wa hali ilivyo aitwe mchochezi na mpinzani, na sasa imekuwa ndio utaratibu.
 
ni kwa sababu wanaomsifia rais nao wanapewa chama!! simple
 
kwa hiyo wewe unashabikia hewa?
Inaonyesha IQ yako ndogo, sorry kama imekuudhi.
Elewa kwenye siasa wapo wapiga kura wanaoweza kuwa washabiki wachama flani lakini sio wanachama kama mimi. Kuwa mwanachama ni mpaka ujisajiri na kutambulika na chama husika.
 
Back
Top Bottom