Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Hivi kwanini wote tunaomkosoa Rais tunapewa chama?

Big big problem.
Self contradictory statements.
Insolent.
Big big problem.
Self contradictory statements.
Insolent.
"Insolent"
Me? Never.
I always tolerate other people's views.
I am not a bigot as you suppose.

Using derogatory language against a HEAD of State is not only bigotry and indecorum but also uncivilized.
Kindly TRY to be CIVIL when contributing. You can CRITICIZE him but with some RESPECT. It does not cost you ANYTHING!!
 
Hakuna kufundisha ila kila siku tunaenda kusaini wacjesema mtoro, nitafundisha nikisikia shetani wa maeneo ya magogon atatembelea huu mkoa! Mbaya zaidi mi ni mwalimu wa Biology na Chemistry shule ina walim 19 sayans tupo wawili yaani tulikuwa tunagonga chaki ile mbaya Sasa ni mwendo wa kula bata tunaenda kusaini basi kwa7bu haiwezekani nifanye kazi na stress za kutolipwa haki zangu huku namwomba Mungu halaf kazi nasimamiwa na shetani, nasema nitafundisha kwa synopsis ambae atasema ati hajaelewa atakula fimbo na matokeo yatafanana na yale ya O' level ya mkuu wa mkoa wa DSM maana tunadharauliwa akati vyeti tumetesekea wakati huo waliopewa vyeti vya bure wanakumbatiwa! Pia kuna hawa mabinti lazima tule misambwanda angalau tujilipe pension sasa kwa hali hii ukiwa na dent unampa 50 kila mwez mimi sintakula msambwanda hadi niuchoke na bado matokeo bashite! Mniache tafadhar mzee shetani si amemwaga mboga nami ngoja nimwage ugali kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Teacher unatafuta 30 years bila sababu
 
Wewe ndiye ovyo kwa sababu unajibu matusi kwenye hoja ya msingi,lichagaudema wewe!

Inawezekana ulikuwa dalali hapo awali na sasa hailipi maana fweza za kuokota hamna [emoji1241][emoji112]
Hahahahaha nacheka Kwa dharau na Kwa sauti...hata haujui tofauti ya matusi na kuambiwa ukweli..umejidhihirisha kweli una AKILI ZA MIAKA SITA...kweli buku saba zinawalevya.hahahahahah
 
Inasikitisha sana.
Huyu sio Mungu bali huyu ni Shetani wa magogoni kama anafananishwa na Mngu basi atakuwa mungu wa herufi ndogo! Mungu hutuongoza kwa sheria ila shetani hutuongoza kuelekea KIMBALI (Genocide) hivi huyu shetani hajawahi kuugua hata homa tangu ahamie magogoni? Na tangu Sasa sintofundisha darasani labda nisikie mkuu wa mkoa atatembelea hapa shule na hata akija labda aingie kwnye kipindi changu ila asipoingia class nitaanza kufundisha kinyume mpaka haki zangu zitakapo kamilika walimu tunadharauliwa sana sasa tutaonyeshag
 
Wewe Mwalimu hujalipwa mshahara wako wa Feb, kama unaona kazi ya ualimu hailipi, acha tafuta nyingine. Magu anakusaidia kwa kukulipa mshahara kwa wakati na si vinginevyo.
Huo mshahara na mfumuko wabei atasavaivu vipi.
 
Sijawahi kukuta thread yenye kwenda mpk 10...... nikazisoma zote ila kweli mwalimu ulioongea ni kweli nakubaliana na wewe tena anatakiwa awahishwe mirembe....faster au ndio maana anataka wizara kuhamia kule ili awe karibu na mirembe? Nina imani kitalipuka anytime kuanzia mwenzi huu maana kama kilikuwa mwezi mchanga sasa hivi ni mlipuko wa hali ya juu
 
Yaani simuelewi,mwaka mzima anahakiki.
Sijawahi kukuta thread yenye kwenda mpk 10...... nikazisoma zote ila kweli mwalimu ulioongea ni kweli nakubaliana na wewe tena anatakiwa awahishwe mirembe....faster au ndio maana anataka wizara kuhamia kule ili awe karibu na mirembe? Nina imani kitalipuka anytime kuanzia mwenzi huu maana kama kilikuwa mwezi mchanga sasa hivi ni mlipuko wa hali ya juu
 
Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).

Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema wote.

Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?

Huyu mkuu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.

Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.

Hali imekuwa mbaya tangu huyu alipoteuliwa kuwa mtu ambaye hajaribiwi.


Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.
Usijali teacher, hao ni majuha wa ccm wala wasikupe tabu!
 
Kama mwalimu unamwandika mkuu wa nchi kihivi, kwa kweli nawaonea huruma anaowafundisha.

Umelazimishwa kufanya kazi hiyo?

Haujiheshimu kabisa

Jipige vibao

Dada hivi unaliwa na jamaa gani huko Lumumba....maana kila thread wewe ni mtetezi wao
 
Back
Top Bottom