Utangulizi.
mchawi ni mtu anae mchukia au kumfanyia kitu kibaya mtu mwingine ambae hana chuki wala baya alilofanya.
hata wewe ulieuliza uchawi ni nini unaweza kuwa mchawi.
Uchawi ndo icho sasa kinachofanywa na mchawi au mshirikina.
mfano kuna mtu anakukwamisha kivyovyote kwenye mambo yako wakati wewe unamuombea mtu huyo afanikiwe, bas mtu huyo ni mchawi.
Pia kuna uchawi ule mtu anautumia kumloga mtu mwingine, chawi hizi zipo nyingi na mtu anaezitumia chiwi hizi kuwafanyia wengine mabaya, mtu huyo ni mchawi.
Pia unaweza kuwa sio mchawi lakini ukafanya uchawi, kwa sababu uchawi unafanywa na mtu yoyote.
uchawi ukifanywa na mtu anaeujua uchawi husika, mtu huyo ndo mchawi.
uchawi ukifanywa na mtu asioujua uchawi husuka, mtu huyo ni mshirikina. washirikina ni watu wanaoenda kwa waganga,