Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 695
- Thread starter
- #21
Mkuu unahitaji ushahidi gani wakati hata wewe umewekewa limbwata.Mtoa mada ebu kuwa muwazi ili tujue namna ya kuchangia,achana na habari za kusikia,topic yako una weza thibitiaha kwa kutoa ushahidi wa lifestyle ya kwenu,Mf.Mama yako,dada zako,mashangazi,mashemeji zako nk,ili tuamini unachokisema maana kuleta mada mezani kwa maneno ya wana nzengo haitakuwa na maana