Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

Siyo uchawi ule!! bali ni uwezo wa kusawazisha mambo yakaesawa katika jamii husika!! kuzuia

watu wowote wenye vijicho dhidi ya Mme wako Hapa mke anazuia kwa kufanya yafuatayo....

kutunza watoto na nyumba yake vyote! Milo ya kila siku! kuhakikisha watoto wako wanakua kimwili na kiroho!! wew angalia mitotot iliyokua bila Mamam utalia na ni rahisi kuijua!! Babab ana toa mpunga mama ana elimisha familia! ili uwe kwa mstari lazima dawa.

Imeandikwa mke atamlinda Mume. hawa ni walinzi wetu, Hutaki kulindwa?? zubaa uchekwe!! sasa dume zima unalindwa tena bure unaleta za kuleta hapa!! Siyo eti Mume atamlinda ke!! no!! me yeye athamini tu ulinzi anao pata baasi!!


kifupi ni ulinzi Mwanana walio jaaliwa na mnyaazi Mungu, kuna mashetani wengi huko nje wanakutamani me mnoo! hawa wana kuja kwa sura ya kike!! lengo ni kukufilisi , kukudhalilisha wewe mume na familia yako, wanao wateseke!! km ikitokea kuwa hoi....

je huoni ni kosa la mke kushindwa kukulinda vyema? na walio jaaliwa na uwezo wa kuona hayo ni wanawake!! wewe me ukienda huko nje kushughulishwa kichawi utakuwa una furahia tu mashine ya kimada km kipofu!! narudia sijakosea ....

NASEMA KE WOTE YALINDENI HAYA MAJITU KOROFI IKIBIDI YACHAPENI FIMBO KABISA YARUDI ZIZIZNI!!!!
 
Back
Top Bottom