Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

Wala halina mjadala hilo, tizama wanaume wao wengi ni mazuzu hufanya mambo kwa maslahi ya upande wa mke wake zaidi kuliko wake.
Basi hawa viumbe inabidi tuanzishe kampeni za kuwakomboa wanaume wenzetu walio tekwa na wanawake wachawi.
 
🤣🤣😂😅

Nimeishia kusoma kichwa cha habari..
Mweka mada pole sana yaonekana umepitia mengi..😂😂
 
🤣🤣😂😅

Nimeishia kusoma kichwa cha habari..
Mweka mada pole sana yaonekana umepitia mengi..😂😂
Mkuu mimi nilinusurika kwa mwanamke mmoja mzuri wa sura lakini bonge la mchawi yaani. Lakini nilijitahidi sana kupiga maombi mkuu, hakika nikamtoa no kauti
 
Wala halina mjadala hilo, tizama wanaume wao wengi ni mazuzu hufanya mambo kwa maslahi ya upande wa mke wake zaidi kuliko wake.
Wakati unaandika haya usimsahau aliyekuwa anakupanga kwenye pot na kufua mikojo yako
 
Tukishakuwa vijana na kuota nywele za chini na kidevuni huwa tuna tabia ya kusahau kabisa na kumsahau yule aliyetufanya sisi kuwa sisi na kuanza kashfa za kila aina
Mkuu mimi nikianza kuhubiri nataka nihubiri wanawake waache uchawi waache kutosha wajomba zetu waache kuroga baba zetu waache kuroga kaka zetu badala yake wamtafute Mungu
 
Wakati unaandika haya usimsahau aliyekuwa anakupanga kwenye pot na kufua mikojo yako
Sijazaliwa na kukua kwenye nyakati za kupupu kwenye mapoti.
.
wanawake wadizaini hii ni wachawi wao na mama zao, akijifanya mwema mama ake anamfanya aujue tu ili akukalishe.
kilugha sisi tunasema "Akukuanzula" unakuwa upo kama haupo
 
Uchawi ni nini ?

Tuanze kwanza na kutoa tafsiri ya neno uchawi
Utangulizi.
mchawi ni mtu anae mchukia au kumfanyia kitu kibaya mtu mwingine ambae hana chuki wala baya alilofanya.
hata wewe ulieuliza uchawi ni nini unaweza kuwa mchawi.

Uchawi ndo icho sasa kinachofanywa na mchawi au mshirikina.
mfano kuna mtu anakukwamisha kivyovyote kwenye mambo yako wakati wewe unamuombea mtu huyo afanikiwe, bas mtu huyo ni mchawi.

Pia kuna uchawi ule mtu anautumia kumloga mtu mwingine, chawi hizi zipo nyingi na mtu anaezitumia chiwi hizi kuwafanyia wengine mabaya, mtu huyo ni mchawi.

Pia unaweza kuwa sio mchawi lakini ukafanya uchawi, kwa sababu uchawi unafanywa na mtu yoyote.
uchawi ukifanywa na mtu anaeujua uchawi husika, mtu huyo ndo mchawi.
uchawi ukifanywa na mtu asioujua uchawi husuka, mtu huyo ni mshirikina. washirikina ni watu wanaoenda kwa waganga,
 
Back
Top Bottom