Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,256
- 2,572
Chakula siku zote kinachoiva taratibu huwa kinakuwa kitamu
Hivi unaweza kutumia chungu kwenye gesi?
Chakula siku zote kinachoiva taratibu huwa kinakuwa kitamu
Unajua hiki kitu me pia sijawahi kuelewa... kwann wali wa msibani unakuaga mtamu sana kuliko hata wali wa harusini?? LoL.
MATANDU.
Muda wa kupakuliwa Chakula, ni raha pale yanapoanza kuondolewa MATANDU.
Hiyo kama upo karibu na Mpishi lazima uombe kuonja MATANDU.
Kama ni Mpishi mwenye gubu, anakutimua, "toka,"mtoto wa KIUME unaleta HILA jikoni" "toka".
MATANDU yakimwagiwa MCHUZI, au MAHARAGE na ROJO yake, acha tu.
Jamani
You mean Kiporo au?
Naona kama Chungu mwenzie Kuni.Hivi ukiwa unapikia chungu ni lazima upikie kwenye kuni au mkaa? Au hata ukipikia gas au umeme utamu ule ule?
Naona kama Chungu mwenzie Kuni.
Nimejaribu sana nikiwa msibani, shughuli yake siyo ya dunia hii.....
Ndio maana chakulabya msibani au kwenye sherehe za kienyeji ni mtamuNimejaribu sana nikiwa msibani, shughuli yake siyo ya dunia hii.....
+ kisamvu kilicholalaSijawahi kuona utamu wa kiporo cha wali mkuu.
Kiukweli nakukaga basi tu nikiwa sina option au nikiona hakuna mlaji.
Wali wa msibani ni habari nyingine
Kumbe humo... utakua kibonge sana wewe 😂😂😂Kisamvu nakielewa sana.
Kwanza nikikichemsha naweka saum na kitunguu kiiiva naweka ile top layer ya maziwa fresh.
Kinalala.
Kesho yake naweka nazi na siagi ya karanga.
Kinaliwa ila ni lazima kibaki tena .
Keshokutwa kinapashwa na siagi ya karanga.
Maharage yaliyolala, pembeni kisamvu na dagaa mchele au samaki wa kukaanga na fresh wali(si kiporo)