Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

Nimemtembelea Aroma of Zanzibar leo nimeona aliweka pishi la Mandi, sikujua kama ni rahisi kupika vile,
Nataka nilijaribu siku nikipata muda,

Wewe unalimudu?
Mami niliwahi kula mandi kariakoo mtaa wa livingstone kwa wasomali wamoja hivi hotelini eti sikulipenda hata niliona ni wali tu na soup pengine recipe yao ilikuwa mbaya ikasababisha ikawa tasteless lakini cha ajabu ile hotel inajazaga sana watu wanafata mandi.
Mimi haikunivutia hata hii ilipelekea nikalose interest nayo.

Pika tuone inakuwaje? Ulishawahi kuula ukaipenda?
 
Hiyo hotel naijua kumbe bado ipo?
Mimi sio wao tu, chakula cha wasomali sikiwezi kiufupi hawajui kupika kile tunachotaka sisi,

Niliwahi kula mara kadhaa kwa waarabu na wazanzibar niliipenda sana ila sikufatilia inapikwaje mpaka nilipoona jana,

Nikipika nitakutumia uonje .
 
  • Thanks
Reactions: amu

Nasubiria mami nionje
 
Sasa leo ijumaa ,nipeni ushauri nile wali Nazi + maharage Nazi kwa Mama Saidi

au niende kula biriani kwa mustapha
au Mandi pale Lumumba
Ama pilau la butiama

Mizuka km yote ya kula mchele Leo
 
Sasa leo ijumaa ,nipeni ushauri nile wali Nazi + maharage Nazi kwa Mama Saidi

au niende kula biriani kwa mustapha
au Mandi pale Lumumba
Ama pilau la butiama

Mizuka km yote ya kula mchele Leo
Hayo makitu mandi,biriani nikila naendesha kwa speed kali sana...sijui ni mimi peke yangu? 😬 😬 ....najilipuaga siku zikingine lakini Flagly inakuwa mfukoni
 
Hayo makitu mandi,biriani nikila naendesha kwa speed kali sana...sijui ni mimi peke yangu? ....najilipuaga siku zikingine lakini Flagly inakuwa mfukoni
Tumbo lako halipatani na viungo, ila biriyani la kiswahili angalau wanaweka viungo vichache sio hao wahindi, waarabu na wasomali eish kama ugomvi.
 
Wali wa mkaa umekorogwa korogwa. Hata bao likiwa na oimekorogwa kwa kukata mauno ni tamu kuliko la kulala kama gogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom