Hivi kwanini wali wa mkaa ni mtamu kuliko ule wa 'rice cooker'?

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,884
Points
2,000

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,884 2,000
Aisee nimejaribu kila mbinu unatoka lakini hauwi mtamu kama ule niliokula juzi aisee.......
Kwenye rice cooker wali unaiva haraka,kwenye mkaa wali unaiva taratibu ,,kuna tofauti sana ya chakula kinachoiva haraka na chenye kuiva pole pole,siku zite chakula cha kwenye mkaa kitamu
 

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
6,019
Points
2,000

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
6,019 2,000
Mk
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa na wali wake ulivyotoka aisee niliona kabisa utofauti na ule wa Jiko la mzungu. Sasa wadau ili wali uwe vizuri ni lazima nifanye mabadiriko au mimi ndiyo sijui kupika ???
MKUU hapo Ni Mapishi yako tu
 

Forum statistics

Threads 1,356,620
Members 518,924
Posts 33,134,511
Top