Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,786
- 2,379
Unaishi uswahilini sanaWatanzania wanapenda kula kula yaani tukio lolote lile wanawaza kula na kunywa. Majuzi napokea mwaliko na kuombwa mchango kutoka kwa miongoni mwa ndugu zangu kuwa Mama mkwe anakuja kulea wajukuu!!
Yaani mtu kaja kwa interest zake tena kuona wajukuu zake tena imekuwa sherehe ya kukusanya mamia ya watu!