Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

Kama unataka sherehe na kukwepa gharama za hiyo sherehe kijanja, nenda katoe mahali, siku hiyo hiyo ya mahari valisha pete. Familia yake watakuwa wameshaandaa mlo na mapochopocho kwa kila mtu atakaekuwapo.
 
Kumbe ndio maana wanafanyaga hivi aisee! Hahaha point taken muhuni lazma nisafirie nyota ile siku 😅😅😅
 
Mambo ya kuvalishana pete ni kuiga tamaduni za watu tu wala haina maana yeyote,ni sawa na sherehe za Birthday,yote tunaiga tu na kujikuta eti tunazikumbatia na kuona ni kama tamaduni zetu! wake up guys before it's too late.
 
Kwani mhusika yeye anasemaje? Ni vizuri ukamvalisha mbele za watu wachache muhimu wa pande zote mbili, mkifanya siku ya kutoa Mahari siyo mbaya, kila lakheri Mkuu hongera pia kwa kupata Mchumba Mungu awe nanyi kwa kila hatua.
 
Back
Top Bottom