Hivi kutokana na estimation mwanaume kuoa mwisho miaka mingapi?

Hivi kutokana na estimation mwanaume kuoa mwisho miaka mingapi?

Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa.

Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini?

Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa?

Je, ndugu zangu naona umri gani ni mwafaka kuoa, ambao ni mzuri for the betterment of both wanandoa.

Kingine, age gap kati ya mwanaume na mwanamke, mfano ukimzidi mwanamke miaka mingapi inakuwa kero, au yeye akikuzidi mingapi inakuwa shida?

Mimi naonaga maisha kama sio checklist, ya kwamba ukifuata society's way unaweza kupotea pia.

Kuna vijana age mates wangu anavuta majiko kama hawana akili, yaani kama trendi, ila mm ndo hata tayari wenyewe sina kabisa.

Wakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.

Ijumaa njema kwenu.
Mwanaume hapangiwi. Yaani muda wowote kati
 
Watakwambia mwanaume hata miaka 70 anaoa na anaanzisha familia, ni kweli lakini furaha ya kulea wajukuu badala ya watoto inakuwa iko wapi? Oa mapema at yo prime age ulee watoto wako vizuri.
Ukumbuke sio kila ndoa inataka watoto; Ndoa nyingine ni kutaka tu mtu wa kuwa naye karibu. Wengine wakiwa na miaka 60 wanaona mke wa miaka 50 nk nk
Au mwanamme akiwa na miaka 42 akaoa mke wa miaka 36 tatizo lipo wapi? Kila umri una watu wake
 
Ukumbuke sio kila ndoa inataka watoto; Ndoa nyingine ni kutaka tu mtu wa kuwa naye karibu. Wengine wakiwa na miaka 60 wanaona mke wa miaka 50 nk nk
Au mwanamme akiwa na miaka 42 akaoa mke wa miaka 36 tatizo lipo wapi?
Nimeongelea anayetaka watoto(familia) hao wengine hata wasipooa sawa tu.
 
Hizo huwa ni akili za masikini na malimbujeni ambao wanaona ndoto za kuwa na wanamke wawatakao "labda" zikatimia uzeeni.
Kama mwanamke ana desturi ya kukoma kushika mimba, hata hayo mengine yana ukomo. Kila jambo lina majira na nyakati sahihi za kufanya, ndio maana huwezi kuwa na miaka 40 ndio ukaanze darasa la kwanza au chekechea.. huo ni uchizi 😅😅
 
Au siyo bwana allow cup
😅😅 life cycle la ndoa ni kubwa sana.. kuoa umri umeenda umejipunja.. Ikifika miaka 35 unatakiwa upumzike mwili uanze kukusanya nguvu za uzeeni. Kila umri wa mwanadamu huwa ni maandalizi ya umri mwingine
 
Kama mwanamke ana desturi ya kukoma kushika mimba, hata hayo mengine yana ukomo. Kila jambo lina majira na nyakati sahihi za kufanya, ndio maana huwezi kuwa na miaka 40 ndio ukaanze darasa la kwanza au chekechea.. huo ni uchizi 😅😅
Hiyo ni kanuni ya Newton to every action there is an equal and opposite reaction
 
Mwezi wa kumi mwaka huu natimiza 29 naanza 30.
Sijaoa ila mwisho mwaka huu kuwa singo mwakani naoa.

Huwa najiulza kweny kuzaa watoto inatakiwa wazaliwe mapema nisomeshe nikiwa na nguvu bdo nikivuka 30 hapo nahs itakuwa jau.

Japo nawatoto watatu wa ujanani.
Mmoja ndo nasomesha wengne wadogo.
Ndo maana sina presha ya kuoa maana watoto ninao tiari.
Duuh na umezaa na wanawake tofauti?

Sasa mbona tayari una majukumu kiongozi,

Huoni kutokuoa ndo ni kama utazidiwa kuleta viumbe vingi ambavyo huenda wakawa na mama tofauti?
 
Hakuna umri rasmi wa kuoa, ila inashuriwa kuoa ukiwa na nguvu

Unapochelewa kuoa, utapelekea kufanya kazi hadi Uzeeni ili uweze kutunza familia

Lakini pia kwa maisha yasasa, unaweza kuchelewa kupata watoto ama usipate kabisa (Wanaume wengi hupata changamoto za ubora wa mbegu (shahawa) kadri unavyozidi kuwa mtu mzima)

Miaka ya zamani ilikuwa vijana wanaoa mara baada ya kuhitimu darasa la 7, kumbuka miaka Ile wanafunzi walikuwa wanahitimu wakiwa na miaka 18 hadi 23

Kwahiyo walikuwa ni watu wazima tayari (wenye nguvu)
Sawa mkuu...

Nimekuwa nikienda vijijini na kukuta vijana Rika langu wanawatoto wakubwa,

Nacho kiona ni kuwa ukisha soma na kujua umuhimu wa maisha bora kwa watoto, unaona kuoa na kuzaa na mtu asiye sahihi ni kuleta mateso kwa viumbe wasio na hatua, ndo maana we think we should make it in life and find the right partner for our kids, but sometimes in hindrances pia.
 
Mimi naona kwa mwanamme umri mzuri wa kuoa ni kuanzia miaka 25 hadi miaka 75 kulingana na mazingira. Zingatia neno kulingana na mazingira
Ok, mkuu nimekupata kabisa.

No pressure
 
Watakwambia mwanaume hata miaka 70 anaoa na anaanzisha familia, ni kweli lakini furaha ya kulea wajukuu badala ya watoto inakuwa iko wapi? Oa mapema at yo prime age ulee watoto wako vizuri.
Hahaha na kweli watu wamesema kuna wengine wanaoa wakiwa na miaka 70.
 
Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa.

Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini?

Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa?

Je, ndugu zangu naona umri gani ni mwafaka kuoa, ambao ni mzuri for the betterment of both wanandoa.

Kingine, age gap kati ya mwanaume na mwanamke, mfano ukimzidi mwanamke miaka mingapi inakuwa kero, au yeye akikuzidi mingapi inakuwa shida?

Mimi naonaga maisha kama sio checklist, ya kwamba ukifuata society's way unaweza kupotea pia.

Kuna vijana age mates wangu anavuta majiko kama hawana akili, yaani kama trendi, ila mm ndo hata tayari wenyewe sina kabisa.

Wakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.

Ijumaa njema kwenu.
Haya maelezo yote hapo chini ni mtu mmoja?

Back
Top Bottom