AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,658
- 21,460
Una maswali mengi sana na maswali yote kwenye hii mada yamekaa hovyoWakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.
Una maswali mengi sana na maswali yote kwenye hii mada yamekaa hovyoWakubwa zetu Naombeni ushauri mzuri.
Kuingia kwenye ndoa siyo mashindano inahitaji kujipanga ipasavyoSawa kiongozi, ngoja nizidi kujiimarisha na nisifuate pressure za walimwengu
ndio wanawake tofauti.Duuh na umezaa na wanawake tofauti?
Sasa mbona tayari una majukumu kiongozi,
Huoni kutokuoa ndo ni kama utazidiwa kuleta viumbe vingi ambavyo huenda wakawa na mama tofauti?
Mmh sawa mkuu.ndio wanawake tofauti.
Majukumu ninayo tiari ila nipo huru, sisumbuliw na kiumbe KE.
Mara unyimwe mbususu na mnalala wote, na stress kibao.
nasema haya nishawah kuoa sio mgen mambo hayo.
ila usiogope kuingia, huwa ni kubahatisha.
namim ntarudimo tena.
Hapana hiyo haita kuja tokea tena labda nioe mwanamke ajitie uchiz tu, hapo sawa ila sitazaa tena na asie mke kwa sasa.
hvo tu migongano ya watu wazma walio kulia mahara tifaut.Mmh sawa mkuu.
Ila hizi issue hizi, bwana.