Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,045
- 27,245
- Thread starter
- #41
Kwa maisha ya leo na Industrialization economy, unaweza ukawa fresh na usiwe na kitu, ila unaweza kuwa mzee ndo mambo yakaitika...Kila jambo lina majira na nyakati zake. Kuna kila jambo linafaa kifanyike katika mda wake sahihi, ndio maana utaona mwanamke akifika umri flani anakoma kuzaa. Umri wa kupumzika, umri wa kulea, umri wa kula raha na mke wa ujana wako, hivyo vyote vipindi tofauti.. kwangu umri sahihi wa kuoa ni pale ambapo mwanaume ana mature akili na mfuko upo fresh
As long as mwanaume ana window kubwa ya kuwa rijali especially kama akitunza mwili wake, kuwa pressured kuoa unaweza poteza kwenye tamani zaidi.
Wanawake wenyewe siku hizi hawaeleweki, unatoa leo kesho mnaachana ya nini usiwe mpole na patient kuji jenga huku ukitafta mtu umtakaye jenga naye maisha?