Hivi kusudi la maisha ni nini?

Hivi kusudi la maisha ni nini?

Ukichagua kuwa mjinga na mvivu wa kufikiria lazima ukumbatie dini.

Watu wa dini watakwambia tumeletwa Duniani kumuabudu Mungu.
Na kweli, watu wamekumbatia dini kiasi kwamba wanakuwa wavivu wa kufikiri nje ya box. Ni heri mtu ambaye ana dini lakini hajailimbatia sana, anaishi maisha yake huku anaenda kanisani/msikitini ambako naamini wengi wanaenda ili jamii isiwaone vibaya
 
Dunia ni sehemu ya mtihani wa mwanadamu sasa tunakufa as if ndo tumemaliza mitihani yetu halafu tunaenda kuhesabiwa siku ya kiama kama ulitenda mabaya au maovu

Yni ni mfano wa maisha ya shule tu
Vipi kuhusu mbuzi, ng'ombe na kuku. Hatuoninwakiabudu, kwa nini wao hawapewi mtihani?
Umewahi kuona jinsi viboko wanavyopigana wakiwa kwenye maji, maana yake wana akili wanaelewa wakikorofishana. Kwa nini viboko wakigombana sio dhambi halafu sisi kwetu ni dhambi?
Kosa letu nini, kuwazidi viumbe wengine akili au?
 
Some quote: "the only true meaning is that we are all on together on this blue rock, floating endless on this sea of darkness. The rest (what happens within) doesn't matter"
 
Vipi kuhusu mbuzi, ng'ombe na kuku. Hatuoninwakiabudu, kwa nini wao hawapewi mtihani?
Umewahi kuona jinsi viboko wanavyopigana wakiwa kwenye maji, maana yake wana akili wanaelewa wakikorofishana. Kwa nini viboko wakigombana sio dhambi halafu sisi kwetu ni dhambi?
Kosa letu nini, kuwazidi viumbe wengine akili au?
Mnyama alokua hana pembe nae atapewa pembe amlipizie kisasi baada ya hapo watageuzwa mchanga tu na habari yao ndo imeisha

Hii dunia tunotakiwa kufanya ibada ni sisi Binadamu na Majini
 
Mimi nimekuelewa yaani wewe ulitamani kwa vile tumekuja duniani basi maisha yangekuwa endelevu bila kikomo ili goals zako pia ziwe endelevu.
Maswali ya aina hii huwa ni ngumu sana kupata majibu ya moja kwa moja na ukiendelea kujiuliza sana maswali ya aina hii mwisho wa siku utachizika bora kuyapotezea tu uendelee kuishi na kufurahia maisha hadi kikomo chako kitakapofika.
Kweli unaweza ukajitengenezea mazingira yako ya ku enjoy maisha ukaishi kwa raha hadi unakufa na ndio kitu cha maana
Ila tu sielewi hii cycle ipo ajili gani. Mfano kuna watu walikuwepo karne 17 zilizopita huko sasahivi hata hawapo tena, walikuja wakaishi wakafa na sisi leo 2026 tunaendelea kurudia kilekile wanachofanya, ila huu mzunguko una lengo gani?
Nashindwa jinsi ya kuliweka swali vizuri likaeleweka kirahisi
 
By default,maisha hayana maana.
Ila Sisi binadamu huwa tunajishughulisha katika mambo mbali mbali ili angalau kuyapa maana maisha.
Huo ndo mtazamo wangu kuhusu maisha.
 
Back
Top Bottom