Hivi kusudi la maisha ni nini?

Hivi kusudi la maisha ni nini?

Yani ukifikiria hilo jibu eti tumekuja ili tumwabudu, naona ndio havimake sense kabisa. Kwa nini anataka tumwabudu?
Unajua nikikaa na hawa watu wakanielezea haya mambo huwa naona kama naongea na mtu asie na akili yani eliesetiwa wewe mwelekeo wako ni huku.sijui huwa wana hisia gani bila kuhoji

Ukihoji una kufuru, kivipi sasa
 
Hii dunia ni kama chungwa tu machoni mwako....mbele ya aliyeiumba

Nashangaa mtu anashupaza shingo anasema ulimwengu umexist frm no where.... Duuh

Yaani mtu anatoka ktk hzi process
Maji/manii-Pande la damu-pande la nyama-mjusi/kiumbe afu haoni kuna uumbaji apo
 
Majinga hayo yanayosema Mungu hayupo!...hata kwa maisha yetu ya daily Kila mmoja wetu kaishamfanyia miracle mpaka unajiuliza hapa nimechomokaje
 
Hii dunia ni kama chungwa tu machoni mwako....mbele ya aliyeiumba

Nashangaa mtu anashupaza shingo anasema ulimwengu umexist frm no where.... Duuh
Kama haiwezekani huu ulimwengu uwe ume exist from nowhere, Iliwezekana vipi kwa huyo Mungu ku exist from nowhere?
Yaani mtu anatoka ktk hzi process
Maji/manii-Pande la damu-pande la nyama-mjusi/kiumbe afu haoni kuna uumbaji apo
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji uumbaji, Hata huyo muumbaji wa kila kitu atahitaji uumbaji wake.

Muumbaji huyo, hawezi kuwepo tu, from nowhere.
 
Hii dunia ni kama chungwa tu machoni mwako....mbele ya aliyeiumba

Nashangaa mtu anashupaza shingo anasema ulimwengu umexist frm no where.... Duuh

Yaani mtu anatoka ktk hzi process
Maji/manii-Pande la damu-pande la nyama-mjusi/kiumbe afu haoni kuna uumbaji apo
Mungu ni mkubwa kuliko dunia. Alitokea wapi?
 
Hili swali gumu sana na hata mimi najiuliza sana ila sisi wote ni roho na tupo hapa kuexprience maisha,kujifunza,kuishi kwa upendo na kuungana tena na chanzo yani kufa
Kabla ya kuzaliwa tulikuwa roho na tukifa tunarudi kuwa roho
Mmh 🙄
Nazidi kuchanganyikiwa. Maana hapa Bongo maaskari walioua watu October 29 bado wanaendelea kuishi kwa raha mitaani, wanaota na vitambi
Njia bora ni kujituliza na kutafakari kwa kina kupitia sala baada ya kusali muombe Mungu akuonyeshe kuwa wewe ni nani na kwanini upo hapa jiulize kila siku ukimaliza kusali na unapokaribia kulala

I swear ukifanya hili kwa moyo utaona majibu yake
 
Majinga hayo yanayosema Mungu hayupo!...hata kwa maisha yetu ya daily Kila mmoja wetu kaishamfanyia miracle mpaka unajiuliza hapa nimechomokaje
Hawa watoto waliouwawa huko Iran huyo Mungu kawafanyia miracle gani?

Kama kweli huyo Mungu yupo kufanya miracles, Mbona amewaacha hawa wafe kikatili namna hii kule Iran 🇮🇷 pasipo kufanya miracle yoyote?

Huyo Mungu anafanya miracles zipi?
FB_IMG_1772623699772.jpg
 
Majinga hayo yanayosema Mungu hayupo!...hata kwa maisha yetu ya daily Kila mmoja wetu kaishamfanyia miracle mpaka unajiuliza hapa nimechomokaje
Hawaoni uumba ulitukuka ata kwa kuangalia Profile picture yako.....moyoni unasema apa kwelii
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini tusingekuwa tunazaliwa na kuishi milele bila kufa?
Yani hili wazo la kuishi milele, kwanini tuliwaze, je kweli kweli haiwezekani ?
 
Hawaoni uumba ulitukuka ata kwa kuangalia Profile picture yako.....moyoni unasema apa kwelii
Hii ni logical fallacy inaitwa Divine fallacy.

The divine fallacy is a logical fallacy that occurs when someone assumes that a certain phenomenon must occur as a result of divine intervention or a supernatural force, either because they don’t know how to explain it otherwise, or because they can’t believe that this isn’t the case.

For example, if someone doesn’t understand how evolution works, they might display the divine fallacy if they claim that their inability to understand evolution is proof that God must have created humans.

The divine fallacy is important to understand, since people frequently use it in an attempt to discredit scientific theories that they disagree with, and in order to support various pseudoscientific concepts.

The divine fallacy and the God of the gaps
The God of the gaps is an argument where gaps in scientific knowledge are presented as proof of God’s work. God of the gaps arguments therefore tend to have the following basic structure:

Premise 1: if science can’t explain a certain phenomenon, then it must be the work of God.

Premise 2: science can’t explain phenomenon X.

Conclusion: phenomenon X must be the work of God.

Accordingly, God of the gaps arguments are highly similar to those that involve the divine fallacy. The main difference between these fallacies is that the God of the gaps fallacy depends on what is known by the scientific community, whereas the divine fallacy depends on what is believed by the speaker.

Binadamu hawaumbwi, Binadamu wanazaliwa.

Viumbe vingine vyote vinazaliana vyenyewe kwa vyenyewe. Except man-made things ambavyo vinaundwa na binadamu.

Hakuna Mungu aliyeumba chochote.

Mungu hayupo.
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini tusingekuwa tunazaliwa na kuishi milele bila kufa?
Yani hili wazo la kuishi milele, kwanini tuliwaze, je kweli kweli haiwezekani ?
Hatuwezi kujua tusivyo vijua. Ila tunaendelela kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.

We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are the part of mystery we are trying to solve.
 
Na ukifikiria vizuri hapa duniani ni mchakamchaka kuanzia unazaliwa Hadi unakufa ndio unapumzika. We fikiria vizuri tu utajua.

Ndio maana ukipata muda wa kufanya starehe na meno yapo wewe fanya tu, hapa ndio tuna uhakika wa kufanya starehe, huko kwingine tunasikia ila tuanze na hizi tunazoziona.
 
Back
Top Bottom