nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 2,560
- 8,080
Bila dini tungekua kama wanyamaMuhimu tuyape maana maisha tu ili tupate cha kutufari , ndio maana akili ya binadamu ikaunda IMANI ya Mungu ili kuyapa maana maisha tu
Bila dini tungekua kama wanyamaMuhimu tuyape maana maisha tu ili tupate cha kutufari , ndio maana akili ya binadamu ikaunda IMANI ya Mungu ili kuyapa maana maisha tu
Kusaidia viumbe vingine vi exist on the future. Kwa maana gani unasaidia kureproduce other beings, feed and your death helps others to exist on the future.Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Ulimwengu una kelele nyingi! Mwombe Mungu kila wakati, kusudi lako utaliona ukiwa mtulivu.Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Yeah baadhi ya watu ni muhimu wakae humo humo , bila kutishwa ni ngumu kuwa wemaBila dini tungekua kama wanyama
Hivi umeangalia hiyo video?Kumbe umeniona🤣🤣 namba AB...
Sijaona video mbona ?Hivi umeangalia hiyo video?
Yeah ni sahihiMuhimu tuyape maana maisha tu ili tupate cha kutufari , ndio maana akili ya binadamu ikaunda IMANI ya Mungu ili kuyapa maana maisha tu
Hii ni maajabu!Sijaona video mbona ?
Ardhi ni ndogo hivyo kifo ni lazima ili kuwe na space la sivyo dunia nzima tungekuwa wengi tumejazana hakuna hata kutembeaNiliposema cycle sikumaanisha kuwa mtu mmoja anazaliwa leo halafu anakuja kuzaliwa tena na tena na tena. Pia sikumaanisha kuwa tunazunguka kwenye evolution eti kuwa ipo siku tutakuwa primates tena kurudi kwenye single cell organism, hapana
Cycle ninayozungumzia ni ya hivi vitendo KUZALIWA -- KUISHI-- KUFA
Au simply KUJA DUNIANI---- KUISHI---- KUONDOKA DUNIANI
Yani haijalishi kama mtu amezaliwa mwaka 1300 au amezaliwa 2026, wote vitendo ni vilevile, kuzaliwa halafu wanaishi halafu anakufa, vinajirudia vitendo vilevile kwa watu tofauti tofauti miaka nenda miaka rudi
Pia kuhusu terminology, haijalishi ni cycle, series or whatever. Still I can't understand what's the point of it
Lazima uzaliwe jikaze!Ikiwa kuna kuzaliwa tena naomba nisizaliwe tena,
Nikifikiria hapo kwenye kufa ndo napagawa bado kun huo mto wa milele, saitakuaje
Ebu njoo , utume tenaHii ni maajabu!
It's true there's nothing more than thatKusaidia viumbe vingine vi exist on the future. Kwa maana gani unasaidia kureproduce, feed and your death helps others to exist on the future.
🤔🤔🤔I don't think there nothing than this.
Na baada ya kufa kuna maisha mazuri kwa watu wema na makazi ya moto kwa watu wabaya{ وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِیَعۡبُدُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 56]
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi
{ مَاۤ أُرِیدُ مِنۡهُم مِّن رِّزۡقࣲ وَمَاۤ أُرِیدُ أَن یُطۡعِمُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 57]
Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe
إِنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلرَّزَّاقُ ذُو ٱلۡقُوَّةِ ٱلۡمَتِینُ (58) }
[Surah Adh-Dhāriyāt🙂 Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti.58]
Umeumbwa ili uje kufanya ibada
Bwashee sio kama hamjui ukweli nyinyi ila matamanio yenu yanawaongoza vile yanavotaka na ndio Mungu wenuIli iweje
Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?Ili iweje
Hhahaha kila mwenye imani yake atasema hivi , muhimu unayapa maisha maana ili upate sababu ya kuishi kwa faraja fulani sio mbayaBwashee sio kama hamjui ukweli nyinyi ila matamanio yenu yanawaongoza vile yanavotaka na ndio Mungu wenu