Hivi kusudi la maisha ni nini?

Hivi kusudi la maisha ni nini?

Mwadam alivyo jeuri kiburi dharau,angeishi milele duniani sijui ingekuwaje?

Ova
 
90% wanaojifanya kuswali sana awe mkristo sjui muislam Ni wanafk dhulmat washnz wakubwa kwanza

Ova
 
90% wanaojifanya kuswali sana awe mkristo sjui muislam Ni wanafk dhulmat washnz wakubwa kwanza

Ova
Kabisa mkuu, unakuta wanajifanya wanamnyenyekea Mungu ila huku mitaani ndio wanaongoza kwa kufanya ufuska
 
Wote tunaliwa tu sio kuku pekee ,usijisahaulishe.
Nimemjibu hivyo pia 😄😄😄

Anaona haliwi wakati Kuna watu wanamezwa na chatu Simba chui etc

Bado Kuna binaadamu pia wana kula watu , Bad enough nature nayenyewe pia lazima itule ili iweze kuji- reproduce
 
Kweli unaweza ukajitengenezea mazingira yako ya ku enjoy maisha ukaishi kwa raha hadi unakufa na ndio kitu cha maana
Ila tu sielewi hii cycle ipo ajili gani. Mfano kuna watu walikuwepo karne 17 zilizopita huko sasahivi hata hawapo tena, walikuja wakaishi wakafa na sisi leo 2026 tunaendelea kurudia kilekile wanachofanya, ila huu mzunguko una lengo gani?
Nashindwa jinsi ya kuliweka swali vizuri likaeleweka kirahisi
Ni issues ya reproduction, hatuna tofauti na miti memea wadudu na wanyama , tuna kufa kwaajili ya kuipa nafasi Ardhi iweze kufanya reproduction kwaajili ya vizazi vijavyo vya mimea wanyama miti wadudu bakteria Virus and natural resources,

Kwanini iwe hivyo we are Still don't know , No one knows
 
Duh 🙄
Hongera yenu mliotafuta imani thabiti na kuishikilia, ni vizuri sana for mental health
Binafsi kila nikifikiria wazungu na waarabu walivyonyanyasa waafrika, kuwaibia rasilimali na kuwafanya watumwa halafu haohao ndio wakatuletea dini kwa kipindi hicho, nawaona kama matapeli

Kwa mfano Mungu anataka tufanye ibada ili iweje
😄😄 Mungu anapenda sifa kama dully Sykes
 
Hilo swali nilijiuliza siku moja nikiwahi hospital nimelazwa.

Nilijiuliza; kwahiyo nilizaliwa ili mwisho wa siku nije nife? Kama ni hivyo bora nisingezaliwa kabisa, maana nisingepitia hayo maumivu niliyokuwa nayapitia.
Sad 😭maisha ni ubatili
 
Nimemjibu hivyo pia 😄😄😄

Anaona haliwi wakati Kuna watu wanamezwa na chatu Simba chui etc

Bado Kuna binaadamu pia wana kula watu , Bad enough nature nayenyewe pia lazima itule ili iweze kuji- reproduce
😃😃😃 Seran haamini kama ataliwa
 
Hapo kukujibu mpaka niwe kwenye hizo imani zako tofauti na hapo tupo tofauti mno , kitu mnakosea ni ku judge kila kitu na kwa kila mtu kwa misingi ya imani yako , binafsi mimi sivutiwi na kwenda huko peponi sasa hapo utani hukumu vipi kwa imani yako?
😄😄 Watakuhukumu Kwa kukuita kafiri
 
Back
Top Bottom