Hivi kusudi la maisha ni nini?

Hivi kusudi la maisha ni nini?

Kwani kusudi la maisha ni nini?

Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.

Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?

Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.

Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄

Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Just enjoy your time to the fullest, hundred years from now nobody will give a damn that you ever existed.
You should also know that even the children of your grandchildren won't give a damn who you were or what you did, have you ever tried to know about the parents of your grandparents?
 
Ila ukifanya kitu kikubwa chenye mchango jina lako litabaki,
 
Na hizo ahadi zake za wanawake wengi peponi sio kila mtu anavutiwa nazo
Sio kila mwanaume starehe yake ni wanawake wengi ila watapewa hao wanawake kama zawadi anyway
Mbaya zaidi nasikia wanakuja wanawake wazuri tupu, maana yake Mungu anajua wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri
Sasa wanawake ambao society inawa term kama wabaya watajisikiaje kujua kuwa hata peponi hawana soko?
Screenshot_20260304-175116.png
 
Kina Hawa watu wa spiritual na issue zao za reincarnation sjui ni kweli au ndo km mambo ya mbamizwa kobaa cc Poor Brain na mwenzie yupo jikoni sasa anaandaa chai mbamizwa futaa cc secretarybird
Maisha ni upumbavu upumbavu, umalaya umalaya, unyetukaji unyetukaji, ujambazi ujambazi n.k.

In short ni upuuzi upuuzi.

Cc Infropreneur
 
Sio kila mwanaume starehe yake ni wanawake wengi ila watapewa hao wanawake kama zawadi anyway
Mbaya zaidi nasikia wanakuja wanawake wazuri tupu, maana yake Mungu anajua wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri
Sasa wanawake ambao society inawa term kama wabaya watajisikiaje kujua kuwa hata peponi hawana soko?
View attachment 3552364
Mbona huyo sio mbaya bwashee vitamu sana hivyo 😋
 
Ukisikia washika dini wanavyowapamba hao wanawake ambao Mungu atatugaia wanaume unaweza ukaona hapa duniani wanawake waliokidhi hivyo vigezo ni wachache sana, inaonekana Mungu atatupa wanawake wengine ambao hawakupita hapa duniani, na wa hapa duniani watapitishwa pisi kali na wengine labda miili yao itakuwa adjusted ili kufikia vigezo 🤔
 
Huko kwingine hakuna kuoa wala kula ila ni harusi moja tu ya mwana kondoo , just imagine ni harusi moja tu na hakuna kula kunywa wala nyie wengine hamruhusiwi kuoa
 
Kwani kusudi la maisha ni nini?

Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.

Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?

Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.

Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄

Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Swali hili ukijiuliza sana hautaona thamani ya maisha.
 
Ila ukifanya kitu kikubwa chenye mchango jina lako litabaki,
Hilo jina litakuwa na faida gani kwako wakati hakuna atakayekuwa anajali kama ulikuwepo, four or five generations from now pengine hata jina lenyewe halitakuwepo japo hata likiwepo maiti yako iliyokwisha oza na kusahaulika haitakuwa na faida na hilo jina.
 
Back
Top Bottom