Namimi nitamla nani sasa?Utaliwa na funza kaburini, ila hautakuwa hai wakati huo so huwezi kushuhudia
Niliweka picha ya mwili ukiliwa na funza ila nimeamua niifute nisije kutisha watu humu ndani 😁
fafanua vizuri chanzo cha mitihani yote hii kilianzia wapi ili wakuelewa kuzudi la kuletwa mwanadamu na ahadi alizopewa kama atashinda hili jaribio.Dunia ni sehemu ya mtihani wa mwanadamu sasa tunakufa as if ndo tumemaliza mitihani yetu halafu tunaenda kuhesabiwa siku ya kiama kama ulitenda mabaya au maovu
Yni ni mfano wa maisha ya shule tu
chanzo cha hzi dini ni kipi? Je hv vitabu Quran, injili, taurati na zaburi vyanzo vyake ni nini? na vimekuja kwa lengo lipi katika ulimwengu huu?Kwa kinachoendelea hapa Duniani kama kungekuwa Kuna kujua au kuona sidhani kama Kuna mtu angetamani kuzaliwa.
Ila Sasa uzuri ni kwamba kama ambacho hukupanga kuzaliwa huna sababu ya kuhofia kufa.
Tunahofu Kwa sababu tumelishwa pumba na watu wa dini na dini zililetwa Ili kusaidia au ku neutralize harshness ya mwanadamu ambae hana tofauti na wanyama isipokuwa utashi.
Sasa huu utashi ndio umeleta gage,ume set standards za kibinadamj na reasoning au judgement ya kusema hikli tuite baya na hili zuri adhabu yake ni a au b na Kwa kuwa hatujua tulikotoka kabla basi ndio ikaletwa hiyo narration ya uwepo wa Mungu na adhabu zitakazofuatia baada ya kifo.
Hawa kuku samaki wanafanana, sisi binadamu hatufananani! Atakaye nireplace hatokuja kama mimi🥺 i wanna live forever😫Kila siku unakula kuku na samaki, ama huoni kama unakula wenzio 😁
Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Hili nakubaliana nalo, maisha hayana kusudi ila sisi tunaweza kuyapa maisha yetu kusudi
Inabidi nianze kusoma vitabu, maana ukitoa vitabu vya darasani sijawahi kusoma kitabu kinachohusu vitu ambavyo nina interest navyo
Hua sibishani na watu kama nyinyiHakuna mungu
Mimi sijaridhika na uongozi wa Tanzania na there's nothing I can do about itTaifa la Marekani limepata Uhuru wake kutoka Uingereza zaidi ya miaka 200 iliyopita. Jiulize wale watu walioishi miaka 200 iliyopita wakati Taifa la Marekani bado wanaishi???
TANZANIA umepata Uhuru wa Tanganyika Mwaka 1961 na Zanzibar Mwaka 1964 na Muungano ukapatikana Mwaka 1964.
Je, wale walioishi kipindi Tanzania unapata Uhuru bado wapo? Tutegemee miaka mingapi na wao wade? Na hiki kizazi cha Gen Z tutegemee na wao watampata Rais wao wa kizazi chao, Je CDM na CCM wameshamuandaa Gen Z wakuongoza nchi???
Maana baada ya Mh. Samia anayefuata ni Mh. Mwinyi au Mh. Riz 1 ili tupate Busara zaidi ya kutoka kwa Hawa viongozi ambao Baba zao walikuwa Maraisi wa nchi.
Umejiandaaje????
Mtu akishaamua kuweka zero kwenye O ni ngumu kumueleweshafafanua vizuri chanzo cha mitihani yote hii kilianzia wapi ili wakuelewa kuzudi la kuletwa mwanadamu na ahadi alizopewa kama atashinda hili jaribio.
Samaki gays hawapo lakini!Kuku na samaki wanafanana machoni pako. Wao wenyewe wanajua kutofautishana 🙂
Kabla hujazaliwa pengine ulikuwa nafsi hivyo uko duniani kuishibisha nafsi yako kwa mema ya nchi then itarudi ilikokuwa na vyote vilivyopo vita pita lakini inatakiwa vipite mikononi mwako then utapimzika so die as a legendaryKwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Sukari na nanasi vina husiana vipi na munguHua sibishani na watu kama nyinyi
Mana nyie ndo mnotia sukari kwenye nanasi!
Shabbash kabisaaa
Hujui uliongealo pole sanaaSukari na nanasi vina husiana vipi na mungu
Jinga , Mungu angekuwepo asinge waacha wapalestina wanao muamini Allah kuwa ndiye mungu wao wapewe mkong'oto Kila siku
Mungu angekuwepo asinge Acha Muhammad apigane vita sijui ya jihad kwaajili ya kuusimamisha uislam !! Angefanya tu miujiza yake na watu wote automatically wange jikuta baada ya kuamka asubuhi wame amua wao wenyewe kuwa waislam bila ya hata kupigana vita , hata wale waliokuwa wanampinga Muhammad na wao wangejikuta automatic wana kuwa waislam kusingekuwa na haja ya kuchinjana
Mada yako inafikirisha ila umejibagua na kujipendelea sana kama binadamu(labda kwa vile una utashi jambo ambalo viumbe wengine hawana).Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho.Tunajifunza halafu tunakufa
Ubongo unaliwa na wadudu, kila ulichojifunza kinapotea
😁😁😁 Wakati Israel inajilinda na maadui kwa teknolojia ya Iron dome kwenye anga lao sisi wafia dini wa kibongo tunasema tunalindwa na Mungu wa Israel.Duh 🙄
Hongera yenu mliotafuta imani thabiti na kuishikilia, ni vizuri sana for mental health
Binafsi kila nikifikiria wazungu na waarabu walivyonyanyasa waafrika, kuwaibia rasilimali na kuwafanya watumwa halafu haohao ndio wakatuletea dini kwa kipindi hicho, nawaona kama matapeli
Kwa mfano Mungu anataka tufanye ibada ili iweje