Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,152
- 18,094
Niwe tu mwerezi wa LebanonLazima uzaliwe jikaze!
Niwe tu mwerezi wa LebanonLazima uzaliwe jikaze!
Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Ishi enjoy, hakuna tatizo.{ وَمَا ٱلۡحَیَوٰةُ ٱلدُّنۡیَاۤ إِلَّا لَعِبࣱ وَلَهۡوࣱۖ وَلَلدَّارُ ٱلۡـَٔاخِرَةُ خَیۡرࣱ لِّلَّذِینَ یَتَّقُونَۚ أَفَلَا تَعۡقِلُونَ }
[Surah Al-Anʿām: 32
Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?
]
Niliona mitandaoniEbu njoo , utume tena
Sijaelewa ebu njoo kimaraNiliona mitandaoni
Ata duniani kila nchi ina katiba yake Raia tuifuate ukienda kinyume utaadhibiwa sasa kma binadamu tu tunafanyiana hivi je vipi kwa yule alietuumba?Ishi enjoy, hakuna tatizo.
Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Hapo kukujibu mpaka niwe kwenye hizo imani zako tofauti na hapo tupo tofauti mno , kitu mnakosea ni ku judge kila kitu na kwa kila mtu kwa misingi ya imani yako , binafsi mimi sivutiwi na kwenda huko peponi sasa hapo utani hukumu vipi kwa imani yako?Ata duniani kila nchi ina katiba yake Raia tuifuate ukienda kinyume utaadhibiwa sasa kma binadamu tu tunafanyiana hivi je vipi kwa yule alietuumba?
Sasa aliyetuumba tumemkosea nini surelyAta duniani kila nchi ina katiba yake Raia tuifuate ukienda kinyume utaadhibiwa sasa kma binadamu tu tunafanyiana hivi je vipi kwa yule alietuumba?
Hili nakubaliana nalo, maisha hayana kusudi ila sisi tunaweza kuyapa maisha yetu kusudiKutegemea na definition yako ya kusudi, ambayo inaweza kuwa tofauti na ya mwingine, maisha hayana kusudi, ila wewe ndiyo unaweza kuyapa maisha yako kusudi.
Mfano, Nelson Mandela alivuozaliwa maisha yake hayakuwa na kusudi. Ila yeye alivyoishi aliona watu wake wanaonewa na kukandamizwa na utawala wa kibaguzi wa makaburu. Akafanya hoja ya kuuondoa utawala huu wa kibaguzi juwa ndiyo kusudi la naisha yake. Akalipa gharama kubwa sana ikiwamo kufungwa miaka mingi sana, lakini mwishowe alikamikisha kusudi lake hilo.
Sasa hivi nasoma kitabu cha mwanafalsafa maarufu wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria aliyeshinda nishani ya Nobel katika literature mwaka 1957, anaitwa Albert Camus. Kitabu chake kinaitwa "The Myth of Sysiphus and Other Essays". Anaongelea suala hili kwa kina kikubwa.
Kitabu kingine kinachozungumzia kwa kina hoja hizi ni cha David Benatar "The Human Predicament : A Candid Guide to Life's Biggest Questions"
Are you sure?Hapo kukujibu mpaka niwe kwenye hizo imani zako tofauti na hapo tupo tofauti mno , kitu mnakosea ni ku judge kila kitu na kwa kila mtu kwa misingi ya imani yako , binafsi mimi sivutiwi na kwenda huko peponi na kupewa bikira
Duniani tunahukumiana hpa hpa ila kwa Mungu nae ana taratibu zake kwaio usifananishe taratibu za Duniani na za MunguSasa aliyetuumba tumemkosea nini surely
Maana kama kuzini unamuumiza mpenzi wako, ukiiba unamuumiza uliyemwibia, ukiua unamuumiza aliyekuwa anampenda huyo uliyemuua, ukimpiga mtu unamuumiza huyo uliyempiga
Haya yote Mungu yanamuhusu nini? Kama yanamuumiza kwa nini haingilii kati kuzuia yasitokee? Eti anangoja ufe ndio akuchome 🤔
Bora niendelee na overthinking kuhusu maisha kuliko kuamini vitu vya ajabu kama hivi 😂😂😂Are you sure?
View attachment 3552359
Kimzigo kimoja tu kinanipiga cheng na kunipasua kichwa ndio mizigo 40 ? Mimi nitakua nashinda kwenye mito ya pombe , nyie komaeni na mzigoAre you sure?
View attachment 3552359
Aisee. Mungu si anipe hata ishara moja tu ambayo iko direct ili niamini kuwa tunapaswa kumwabudu 😔Duniani tunahukumiana hpa hpa ila kwa Mungu nae ana taratibu zake kwaio usifananishe taratibu za Duniani na za Mungu
Na hizo ahadi zake za wanawake wengi peponi sio kila mtu anavutiwa nazoAisee. Mungu si anipe hata ishara moja tu ambayo iko direct ili niamini kuwa tunapaswa kumwabudu 😔
Huwa sielewi wanyama wengine anawaacha waishi wanavyotaka ila sisi binadamu tu ndio anataka tumuabudu na isitoshe anatuchoma tusipomwabudu. Not fair
Nimekuwekea hivi vitabu viwili hapa.Hili nakubaliana nalo, maisha hayana kusudi ila sisi tunaweza kuyapa maisha yetu kusudi
Inabidi nianze kusoma vitabu, maana ukitoa vitabu vya darasani sijawahi kusoma kitabu kinachohusu vitu ambavyo nina interest navyo
Na tukaekewa kifo sasa mda wowote ule ili ajulikane anotenda mema ni nani na mbaya ni naniAisee. Mungu si anipe hata ishara moja tu ambayo iko direct ili niamini kuwa tunapaswa kumwabudu 😔
Huwa sielewi wanyama wengine anawaacha waishi wanavyotaka ila sisi binadamu tu ndio anataka tumuabudu na isitoshe anatuchoma tusipomwabudu. Not fair
Bwashee ww unapenda pombe hutaki ukutane na kipenzi chako pombe bwashee?Na hizo ahadi zake za wanawake wengi peponi sio kila mtu anavutiwa nazo
Safi nakaziaDuh 🙄
Hongera yenu mliotafuta imani thabiti na kuishikilia, ni vizuri sana for mental health
Binafsi kila nikifikiria wazungu na waarabu walivyonyanyasa waafrika, kuwaibia rasilimali na kuwafanya watumwa halafu haohao ndio wakatuletea dini kwa kipindi hicho, nawaona kama matapeli
Kwa mfano Mungu anataka tufanye ibada ili iweje