Hivi kusudi la maisha ni nini?

Hivi kusudi la maisha ni nini?

Mimi sijaridhika na uongozi wa Tanzania na there's nothing I can do about it
Waendelee kupeana nchi kwenye ukoo wao wanavyotaka, maana ni kama wapo kwenye mission ya kuharibu taifa. Watajijua wenyewe
CCM MBELE KWA MBELE
 
Naungana na wewe na wanaodai maisha hayasongi wewe achana nayo usonge mbele yatakufata yenyewe. Dunia ni hii hii nyie ngoja mdanganywe ati kuna cjui vibkra 72 huko mara cjui ati cku za mwisho mtaruka kama tai. Mruke kwa mabao yapi na kuruka mitaro ya maji mnashndwa. Tumia ulicho nacho usogeze maisha kesi badae
 
Back
Top Bottom