Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
hahahaa too late nishawahiwa zamaani
Nani huyo ananitafuta ubaya mie? Halafu huyu lara 1 anapita kimya kimya hasemi kitu, ananitisha ujue.
Last edited by a moderator:
hahahaa too late nishawahiwa zamaani
huo urefu wa dushe au wa warembo?
Dr. WATU WAME PERTITION ASIALIKWEEE! Hahaaaaaaa! Safari hii kaula wachuyaaaa!Mmh docta in ze haus
Hahahahammhh, sasa unaishi kwa azam kola tu? Au ni yale mambo yetu.
Hahaaaaa! Utaghairi kama imelikwa vile???? Sema tu sijaalikwa anijue nani? Hahaaaaa! The truth will set you free!kwani madushe mtaacha wazi nitagairi soon kuja
Nani huyo ananitafuta ubaya mie? Halafu huyu lara 1 anapita kimya kimya hasemi kitu, ananitisha ujue.
Hahaaaaaa! Mie HUNIPOTEZI MABOYAAAA! Nasikia una kitu KIPYAAAAAA! Brand new! Limited edition! Huyo muke ya maerskson sijui ASHALIPIWA KITAMBOOO! Unalooo?Nani huyo ananitafuta ubaya mie? Halafu huyu lara 1 anapita kimya kimya hasemi kitu, ananitisha ujue.
tinna cute utakuwepo? naona umetoka kula ban asee
hahahhaa mi wa wenyewe mgiriki wakiona unanilia timing hata ruhusa nitakosa u know
Hahaaaaa! Utaghairi kama imelikwa vile???? Sema tu sijaalikwa anijue nani? Hahaaaaa! The truth will set you free!
Hahaaaaaa! Mie HUNIPOTEZI MABOYAAAA! Nasikia una kitu KIPYAAAAAA! Brand new! Limited edition! Huyo muke ya maerskson sijui ASHALIPIWA KITAMBOOO! Unalooo?
Sikupewa ban bwana ni majukumu tu........ mie bush babe kwny hiyo party sitaweza kufit
Come on now....mbona itakuwa poa sana tu...nani nije kuongea nae
hahaha kama una hamu ya kurestishwa in hell njoo uongee nae
Huwezi juaaa! Huenda UKAALIKWA ATIII! Wewe tenaaa? Aaaaah!hee!!
kumbe mualiko rasmi?
mi nlijua michango tuu!!
nshakosa tayari
Papa lipi unaloongeleaaaa?Ukinipa ridhaa, hata kwa papa ntaenda kukuombea ruksa.