Bendera za kwanza na ya mwisho kidogo zilitaka kufanana na bendera ya Taifa. Kosa la bendera ya kwanza ni rangi ya bluu inapaswa kuwa bluu ya bahari ambayo ipo bendera ya mwisho, na kosa la bendera ya mwisho ni rangi ya njano badala ya rangi ya dhahabu. Rangi ya njano ipo bendera ya kwanza.Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya tanzania.
Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au nanyi mnaona mauzauza!View attachment 1323844View attachment 1323845View attachment 1323846View attachment 1323847
au oppoMkuu labda kamera tofauti
Tecno,Infinity,Samsung,Nokia,Jtide, etc
Chunguza kwanza hilo