Ni macho yangu au na wengine mnaona hivyo? Wanawake wa siku hizi wana makalio makubwa sana

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Wakuu habari zenu.

Nimekuwa nikichunguza sana nimegundua wanawake wa miaka ya sasa si mjini au kijijini, wengi wao wana makalio makubwa tofauti na enzi tunakua sisi.

Ujue miaka ya hapo nyuma wanawake wenye makalio walikuwa wachache ndiyo maana yalikuwa yanaonekana dili na wanaume wanayashobokea.

Ila miaka ya hivi karibuni naona wanawake karibu wote kuanzia wembamba kwa wanene wote Wana Makalio Makubwa.

Sasa hapa wanatengeneza shepu au kuna vitu wanatumia? Nauliza ni macho yangu au na nyie mnaona hivyo hivyo?
 
Attachments

  • Screenshot_20221014-202300.png
    Screenshot_20221014-202300.png
    268.8 KB · Views: 67
  • Screenshot_20221015-150303.png
    Screenshot_20221015-150303.png
    420.3 KB · Views: 70
  • Screenshot_20221022-203128.png
    Screenshot_20221022-203128.png
    287.1 KB · Views: 60
  • Screenshot_20221022-203048.png
    Screenshot_20221022-203048.png
    365.2 KB · Views: 69
Nguo pia zinachangia, kama wanawake wote wakiamua kuvaa nguo za stara bhasi idadi ya hao unaowaona itapungua sana

Na si kweli kuwa wanawake wenye makalio makubwa walitamba sana kama sasa, ukitaka kujua sikiliza nyimbo za zamani. Vitu kama English figure, mwanya, dimples, macho ya kusinzia, sauti, lips etc ndio vitu vilipigiwa promo
 
Wa Sasa wanalingia matakooo 😁😁
 
Back
Top Bottom