busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,574
Bendera za kwanza na ya mwisho kidogo zilitaka kufanana na bendera ya Taifa. Kosa la bendera ya kwanza ni rangi ya bluu inapaswa kuwa bluu ya bahari ambayo ipo bendera ya mwisho, na kosa la bendera ya mwisho ni rangi ya njano badala ya rangi ya dhahabu. Rangi ya njano ipo bendera ya kwanza.
Kwa hiyo rangi zinazokosewa ni njano na bluu.
Lugola
Akitaka reference, aangalie mifuko ya kaunda suti za waziriHizo za online mkuu ila bendera za nchi ziko poa kabisa wakikupa kaz ya bendera wanakupa na color codes zake
Usiamin sana vitu vya kudownload maana pimbi yeyote mwenye internet anaweza ku upload angalia avatar yangu
Art is life.ukiona kijani kimekolea ujue ni msimu wa vuli/masika...vinginevyo ni kiangazi
njano iliyokoleaaa ni msimu madini yamepatikana kwa wingi na hata TRA wakatangaza ongezeko la patoo
Bluee...ikikolea jua bahari maji yake ni safi na angavu ..vinginevyooo maji ya mito yameingia kwa wingi yakaleta tope baharini
Nyeusi ...naona haijabadilika sanaaa...
mwisho "uchanganyaji wa rangi ni taaluma hivyo watakiwa kuheshimiwa"
Mjinga weee!Acha ujuaji wewe, hakuna rangi inayoitwa “rangi ya dhahabu”.
Mjinga weee!
ukiona kijani kimekolea ujue ni msimu wa vuli/masika...vinginevyo ni kiangazi
njano iliyokoleaaa ni msimu madini yamepatikana kwa wingi na hata TRA wakatangaza ongezeko la patoo
Bluee...ikikolea jua bahari maji yake ni safi na angavu ..vinginevyooo maji ya mito yameingia kwa wingi yakaleta tope baharini
Nyeusi ...naona haijabadilika sanaaa...
mwisho "uchanganyaji wa rangi ni taaluma hivyo watakiwa kuheshimiwa"
Shithole!Nywanoko.
Shithole!
Hahaaukiona kijani kimekolea ujue ni msimu wa vuli/masika...vinginevyo ni kiangazi
njano iliyokoleaaa ni msimu madini yamepatikana kwa wingi na hata TRA wakatangaza ongezeko la patoo
Bluee...ikikolea jua bahari maji yake ni safi na angavu ..vinginevyooo maji ya mito yameingia kwa wingi yakaleta tope baharini
Nyeusi ...naona haijabadilika sanaaa...
mwisho "uchanganyaji wa rangi ni taaluma hivyo watakiwa kuheshimiwa"
Mistari yetu ya njano ni mipana kiasi na siyo miembamba kama hiyoHII NDIYO YENYEWE...