Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

Mwanao Hana midoli ya kutosha nyumbani mpaka aende kulilia midoli barabarani jamani
 
Kulwa na Dotto hapa mtaani wananiita mama wawili
Wafundishe tu wataelewa huna haja ya kuwanyima haki yao ya kutoka toka,
kuna siku nilienda duka la jeshi mwanza nikiwa na watoto 2, mlangoni mjeda akaniambia watoto hawaruhusiwi, nikauliza kisa, akajbu wanasumbua kung'ang'ania vtu, nikajbu hawa hawawezi chukua ktu mpaka niwaruhusu, akaniruhusu kuingia nao ila basi tu, tukaingia tukakusanya tulivotaka bila usumbufu wowote, wakat tunalipia mdada akawa anawashangaa sana watoto maana mezani kwake kulikuwa na mazaga wanayopendelea watoto ila wala hawana muda nayo, mwishowe akachukua chokulet akawa anawapa, hawakupokea wakaniangalia kwanza, nilipowapa ishara ndo wakapokea, mdada akaniambia hongera sana, nikajbu asante maana nilielewa anachomaanisha.

mlangoni mjeda naye akanipa hongera, tukasepa zetu.
 
Back
Top Bottom