Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 26,081
- 137,310
🤣🤣😁,Labda yupo skuli je? Tutajuaje😁Au nasema uongo? Huyo aendelee tu kumenya ndizi na kujitahidi kuboresha pishi la kande
🤣🤣😁,Labda yupo skuli je? Tutajuaje😁Au nasema uongo? Huyo aendelee tu kumenya ndizi na kujitahidi kuboresha pishi la kande
Hahaha safi , ni matunzo umechagua wewe ila akitoka kwako anayo maisha yake🤣🤣🤣🤣Maputo hapana,
Weye wauza vitu vya watoto wana sofa ujue😁, wakkona upo na mtoto wanajipitisha hili mtoto alilie🤣Hahaha safi , ni matunzo umechagua wewe ila akitoka kwako anayo maisha yake🤣
Kumbe wenye mzanzibar umenikumbusha rafiki yangu mmoja anaitwa shufwaaa chuo , alikua ananiambia nikiwa ustadhi nitapendeza sana , bahati mbaya mimi pombe ni mwenyekiti 🤣🤣🤣Weye wauza vitu vya watoto wana sofa ujue😁, wakkona upo na mtoto wanajipitisha hili mtoto alilie🤣
Kwanini unapenda pombe?? Uwe ostadhi bhana😁Kumbe wenye mzanzibar umenikumbusha rafiki yangu mmoja anaitwa shufwaaa chuo , alikua ananiambia nikiwa ustadhi nitapendeza sana , bahati mbaya mimi pombe ni mwenyekiti 🤣🤣🤣
Pombe tamu , mimi binafsi sina dini ila nawaheshimu watu wa dini zote isipokua walokole tuKwanini unapenda pombe?? Uwe ostadhi bhana😁
Hahahahha nimecheka Leo😁,,Pombe tamu , mimi binafsi sina dini ila nawaheshimu watu wa dini zote isipokua walokole tu
Hahahahha nimecheka Leo😁,,
Eti hauna dini😁,,,kwanini??
Hapo ndio unafeli🥹Pombe tamu , mimi binafsi sina dini ila nawaheshimu watu wa dini zote isipokua walokole tu
Nimefeli kivipi?Hapo ndio unafeli🥹
Kunywa pombe na kuwadharau Walokole.Nimefeli kivipi?
SureKunywa pombe na kuwadharau Walokole.
Nimewafundisha vyema watoto wangu!!Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu tu mtoto kalilia sasa mm nime chukua hatua ya kumpa iyo 2000 na kusepa chap hii kitu ina kela au ni mimi tu
Unawaacha kuogopa wafanyabiashara😁Huwa inakera mno, mimi ndiyo maana wanagu nikitoka nawaacha nyumbani
😂😂😂😂😂😁😁😁,Niliweka baada ya kunguni wa jf mmoja kunipa habari ya mie Cha wote🤣🤣🤣,
Kumbe bhana mwenyewe sijijui kama nawasambazia upendo ma bro wa jf
😂😂😂😂😂We kwenye uandishi ni hamna bora tu ukomae na mapishi.
Yaani🤣🤣, sometimes unaweza jiona umevaa nguo kumbe wanazengo wanakuona upo uchi😁😂😂😂😂😂
Ndo mie niliweka status tsup, baada ya kupewa ubuyu wa moto, eti najitongozesha kwa jamaa fulani afu ni mume wa mtu..
Cha ajabu huyo jamaa, sina mawasiliano wala mazoea nae, ile salamu bas, hadi nikawaza hii in4 imelink vipi, sema jamaa ana heshima zake, nimeamua kukausha, vinginevyo ningemfata anieleze vizurii. Na nililvyo chizi angefurahi mbona.
😂😂😂😂😂